mmmmmmmhhhhh siku zote tushazoe bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe;wengine apumzike kwa amani;
naona sasa hivi imekuwa tofauti kabisa wachungaji wanasema bwana ametoa DECI serikali wameamua kuitwaa swali nauliza hapa nako jina la bwana libarikiwe ama??????? wenye majibu tusaidiane