Asante Bujii, ulonena ni ya kweli, wengi humu jamvini wamekua wakinishangaa, sasa kwa nini nifiche hali niliyokuwa nayo? hiyo ndio hali halisi, hayo ni maumbile.Hamjui kama mficha uchi hazai. Haya mambo bado ni mageni kwa nchi zetu, lakini polepole sasa yanaanza kuenea, mwisho mtazoea tu.Kama kuna mtu yuko serious na mimi, niko teyari hata kutoa namba yangu ya simu tuwasiliane. Swali la nyongeza?...