Bw. Sautimbaya atia pozi tbc1

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,065
1,535
Baada ya wanajf kumchachafya jamaa aliyeletwa kwa ajili ya kusoma magazeti asubuhi pale tbc 1 bwana Sautimbaya, leo kasoma Shaban kisu. alianza na uhuru akafuata na habari leo!! mengine yakafuata lakini alionyesha features kama za bw. sautimbaya kwani alisoma vichwa kwa makosa na kuachana na habari alipoguindua haitawafurahisha wakuu...pia alipoteza muda mwingi kwenye michezo!! wanjf mliistukia hiyo?
 
niliacha kuangalia tbc zero tangu kombe la dunia
 
ni jamaa mmoja mgeni amekuja tbc radio kusoma magazeti - nadhani ni kazi maalumu. hana kazi nyingine huyo akimaliza anaondoka zake hadi kesho. ana sauti mbaya na anasoma huku anachagua ipi asome ipi asisome...anaitwa sijui lusekelo???
 
alininiboa sana juzi huyo jamaa

ikabidi niwashe tv na kuchek staa tv......

kwanza hajui kusoma..... pili anachagua vichwa vya habari.... anaweza kuanza kusoma then akaishia njia kisha akaanza kisoma taarifa nyingine

sijui wamemtoa wapi mpuuzi huyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom