If it rings true,but would you rather have an armed thug as a friend because he helps you with what he robs others? this is rhetorical one don't answer as we all know the outcome!
Nimesikia kwamba mradi wa maji kutoka Ziwa Viktoria kwenda Shinyanga mpaka Kahama ni moja kati ya Miradi aliyoisimamia yeye Bw. Lowasa sina uhakika na hilo lakini kama lina ukweli wowote basi ni bonge la Plus kwake kwani nimefika huko na kuona jinsi ule mradi ulivyowakomboa watu wa kule!
Hivi EL aliposema UCHUMI wetu unapaa wewe ulikuwa Tanzania au wapi? Sifa moja ya watanzania wengi sio wafuatiliaji wa mambo consistently na siyo watunza kumbukumbu wa mtiririko wa visa au matukio yanayohusu siasa, uchumi au hata watu!! wanasahau haraka sana, hivi wewe Lowassa mpaka JK (Baba wa Taifa) anamkataa kwamba siyp presidential material ulikuwa wapi?
Kinachowatesa NYINYIEM kwa sasa ni kukataa mambo ambayo kambarage aliyasimamia kwa kucha na vidole, ndicho kinachowamaliza NYINYIEM.... stay tuned...
Hivi EL aliposema UCHUMI wetu unapaa wewe ulikuwa Tanzania au wapi? Sifa moja ya watanzania wengi sio wafuatiliaji wa mambo consistently na siyo watunza kumbukumbu wa mtiririko wa visa au matukio yanayohusu siasa, uchumi au hata watu!! wanasahau haraka sana, hivi wewe Lowassa mpaka JK (Baba wa Taifa) anamkataa kwamba siyp presidential material ulikuwa wapi? Kinachowatesa NYINYIEM kwa sasa ni kukataa mambo ambayo kambarage aliyasimamia kwa kucha na vidole, ndicho kinachowamaliza NYINYIEM.... stay tuned...
Ni heri kuwa na "mtuhumiwa" mwenye uwezo wa kufanyq haya hapa chini kuliko kuwa na mtu "asiyechafuka" lakini goigoi.
-mwenye maamuzi
-mwenye kujua tatizo letu
-mwenye solutions za matatizo yetu
-mwenye uwezo wa kujenga hoja
-mwenye udhubutu
Bila hivyo nchi itakuwa na viongozi wasafi wanaojua kuomba maji ila hali wamezungukwa na mito na maziwa
linganisha lowassa alivyokuwa waziri mkuu na huyu mtoto wa mkulima au sumaye
Baada ya kumsikiliza Bw. Lowasa (Waziri mkuu aliyepita) kwenye kipindi cha dakika 45 ITV kwa makini sana ninaweza kusema kwamba sijawahi tangu ufwatiliaji wangu wa siasa za hapa kwetu kusikia kiongozi akiongea mambo ambayo yamenigusa kama Bw. Lowasa.
Kwangu mimi ameonekana kama mtu anayeelewa ni nini hasa tatizo letu na kwa nini hatutoki hapa tulipo kwa mfano moja ya vitu alivyonigusa ni pale kwenye Mafuta, anasema kwamba ni lazima tununue mafuta kwa wingi PALE AMBAPO BEI YA MAFUTA INAPOKUWA CHINI (soko la Dunia) ili kuweza kufidia kwa wakati inapopanda, hiyo kwangu mimi ni reasoning ya hali ya juu na ninalazimika kusema sijawahi kusikia kiongozi wa Tz akiweza kuongea na kutoa reasoning kama hiyo, kingine ni kuhusu uwiano wa ukuaji wa Uchumi na mabadilko ya maisha ya mwananchi wa kawaida (trickle down effect) ameweza kuelezea nini kifanyike ili ukuaji wa uchumi uweze kumfikia mwananchi wa chini, hakuna kiongozi wa Tanzania niliwahi kumsikia akiongelea nini kifanyike kutatua matatizo wote wengine nawasikia ni kulialia tu na kulalamika bila kutoa au kushauri nini kifanyike!
Hivyo kwangu mimi pamoja na kusikia yote kuhusu huyu Bw. Lowasa ikiwemo tuhuma za mambo mbalimbali nafikiri ni mtu ambaye tukimtumia vizuri kwa njia yoyote ile, hata kwa usahuri tu, tunaweza kupata kitu!
Lowasa was a mistake then.he is a scandal now,he will be a disaster tomorrow .....mark my words
Uzuri wa mtu unapimwa kwa hotuba?
Uzuri wa mtu unapimwa kwa hotuba?
Inawezekana lakini mimi binafsi siajawahi kumsikia kiongozi akijaribu kuchambua na kuelezea tatizo ni nini na nini kifanyike na ukiyapima yako ndani ya uwezo wetu, na sio kuongelea kwamba sijui watanzania tunadharaulika kwa maana hatuji kuvaa suti vitu kama hivyo!
Hilo swali lingine, lakini nafikiri kama kumbukumbu yangu iko sahihi hakuwa Waziri Mkuu kwa muda mrefu kuweza kufanya mambo mengi anyway simtetei, ila kwangu hata mimi nilikuwa pia na maoni tofauti kuhusu huyu bwana kutokana na ninayoyasikia kuhusu yeye na kwa bahati mbaya sikuwahi kumsikia akiongea mpaka nilipokuja kumsikia hivi karibuni na naweza kusema imenibadilisha kiasi fulani mtazamo wangu juu yake!
Nimeongolea tu yale niliyoyasikia akiyasema na kulinganisha na yale wanayoyasema viongozi wengine wengi wanapopewa nafasi ya kueleza ni nini kifanyike katika nchi!
Kama nyie ndiyo type ya ma strategist aliyenao na anawategemea kumfikisha anakotaka kufika basi kazi anayo!
Kama nyie ndiyo type ya ma strategist aliyenao na anawategemea kumfikisha anakotaka kufika basi kazi anayo!
We ni kijakazi wa Lowassa no doubt
Eti mafuta
wakati nchi ina gesi ambayo ni nishati mbadala?
tunaweza tumia gesi na kupunguza kabisa kununua mafuta kwa kiwango kikubwa
na je mbona Zambia wananunua kupitia bandari ya Dar lakini bei zipo chini?
South Africa je?
inflation je?
dollarization je?
Lowass was a mistake then.he is a scandal now,he will be a disaster tomorrow .....mark my words