Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,347
- 62,353
Walikua wanadhibiti Nyumbu wahalifu waliokua wanaiba mali za watu na kuchoma vituo vya mafutaKwani walikua wanalinda amani au wanalinda wizi wa kura waliofanya
Walikua wanadhibiti Nyumbu wahalifu waliokua wanaiba mali za watu na kuchoma vituo vya mafutaKwani walikua wanalinda amani au wanalinda wizi wa kura waliofanya
Tulifikaje hapoWalikua wanadhibiti Nyumbu wahalifu waliokua wanaiba mali za watu na kuchoma vituo vya mafuta
Ndugu yangu upo habari za miaka mingiMijitu hii ni kama mishetani kabisa.
Ni mtu mmoja ndiye anaendesha hizo akaunti
Nyumbu tu wewe na utaendelea kuwa chakula cha mambaNyumbu ni Kúma lililokuzaa. Hasara kabisa wewe
Haina shida katika operation ya kuua wale nyumbu wahalifu wa October 29 wako na watu wema waliuwawa kimakosa hilo linajulikana ilimradi nyumbu wahalifu walikufa wengi zaidi hilo linatosha, amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote , sahivi nyumbu mmeshika adabu mmebaki kuimba taarabu mitandaoni
Usichokijua waandamanaji wengi hawakufa. Waliokufa wengi ni ambao hawakuhusika ndo maana wamekufa kama kuku. Wengi wamefia mitaani huko ambako Polisi waliwafata majumbani kuwaua.Haina shida katika operation ya kuua wale nyumbu wahalifu wa October 29 wako na watu wema waliuwawa kimakosa hilo linajulikana ilimradi nyumbu wahalifu walikufa wengi zaidi hilo linatosha, amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote , sahivi nyumbu mmeshika adabu mmebaki kuimba taarabu mitandaoni
🤣🤣 Ile Ardhi ya nidhamu pale Monduli kila siku wanakukumbusha we train you to be a professional killer.🤣🤣Hivi kwanza buyobe yupo nchini? Mafwele naye ni kama kibaka tu, hizo kazi za utekaji na uuaji zipo kila nchi, ila ni very professional, huwezi kuta kiongozi wa hilo genge anajulikana hadu na watoto wadogo mitaani, hii nchi mambo yake yanaenda unprofessional, eti jasusi anaenda kuteka wavuta bangi,halafu yeye mwenyewe anaenda kuwa interrogate, mara eti mafwele anamuambia mateka wake Agatha atuahire atampa mimba, fakin kabisa hii nchi
Kama hawakufa nyumbu mnajiliza nini ? Nyumbu mlikua mnatoka kuchoma na kuiba na kukimbilia ndani hukohuko mkafatwa kuchapwa risasi na hilo ndo mnastahili nyumbu msio na akiliUsichokijua waandamanaji wengi hawakufa. Waliokufa wengi ni ambao hawakuhusika ndo maana wamekufa kama kuku. Wengi wamefia mitaani huko ambako Polisi waliwafata majumbani kuwaua.
Wewe nadhani umesimuliwa!
Mwaga upupu mapema kabla hawajakuchukua Tena😀Hakuna kosa ambalo kikundi cha utekaji cha Mafwele kitajutia kama kunipeleka kwenye ngome yao, kujionea unyama wao, bila kuficha nyuso zao, chini ya usimamizi wa Mafwele mwenyewe aliyekuwa akinipa ahadi za kutoiona tena kesho.
Msela asili yake noma ila kwenye noma msela hakai.
Pi soma
- Buyobe yupo wapi? Nini kimempata toka achukuliwe na watu waliodaiwa kujitambulisha kuwa polisi?
- Baada ya kelele nyingi mtandaoni, Jeshi la Polisi lamwachia Fortunatus Buyobe kwa dhamana
View attachment 3543115
Tanzania "proffessionalism" ipo kwenye private sector pekee.Hivi kwanza buyobe yupo nchini? Mafwele naye ni kama kibaka tu, hizo kazi za utekaji na uuaji zipo kila nchi, ila ni very professional, huwezi kuta kiongozi wa hilo genge anajulikana hadu na watoto wadogo mitaani, hii nchi mambo yake yanaenda unprofessional, eti jasusi anaenda kuteka wavuta bangi,halafu yeye mwenyewe anaenda kuwa interrogate, mara eti mafwele anamuambia mateka wake Agatha atuahire atampa mimba, fakin kabisa hii nchi
😂😂😂😂😂😂Nilichofahamu leo ni kwamba gallow bird na Lucha ni akaunti za mtu moja anazitumia simultaneously
Akili zako ziko likizo.Ukichochea uhalifu huna haki ya kuendelea kuwa hai inatakiwa upigwe risasi kama mlivyopigwa Oct 29
Hata KISASI kikimfuata hataona kwamba ni KISASI. Yeye ataona ni kawaida Tu. Ogopa Sana mtu aliyejikinaiHivi huyo Mafwele mkerewe kutajwa jina na watu wengi kwenye kila uchafu anajisikiaje? Na yeye ana familia, maombi ya watu aliowaua ndugu zao hayataenda bure,na wakati Mungu ni wakati sahihi,
Hizi kazi za Umafia kwa ajili ya manufaa ya wanasiasa si nzuri kwa ustawi wa mtu na familia yake, kisasi kinawafuata mpaka vitukuu,
Kabisa mkuu, unajua kibaka wa kizamani alikuwa anatumia vitisho"kuogopwa" ili kufanikisha ajenda zake, lakini siyo trained assasinator wa serikali, yaani iwe kweli kuwa serikali yote inamtegemea mafwele kuiweka nchi salama kwa njia ya kuua wakosoaji wake? We are not serious broh.Tanzania "proffessionalism" ipo kwenye private sector pekee.
Kwenye TanPol hata kile wanachotakiwa kufundishwa hawafundishwi, wanafundishwa uhuni wa kimafia.
Unategemea weledi gani kutoka kwa mtu kilaza (division 4)!!???
Unaamini unatoyasikia mkuu wangu ?Hivi kwanza buyobe yupo nchini? Mafwele naye ni kama kibaka tu, hizo kazi za utekaji na uuaji zipo kila nchi, ila ni very professional, huwezi kuta kiongozi wa hilo genge anajulikana hadu na watoto wadogo mitaani, hii nchi mambo yake yanaenda unprofessional, eti jasusi anaenda kuteka wavuta bangi,halafu yeye mwenyewe anaenda kuwa interrogate, mara eti mafwele anamuambia mateka wake Agatha atuahire atampa mimba, fakin kabisa hii nchi