Buyobe: Kikundi cha Mafwele kitajuta

Buyobe: Kikundi cha Mafwele kitajuta

Haina shida katika operation ya kuua wale nyumbu wahalifu wa October 29 wako na watu wema waliuwawa kimakosa hilo linajulikana ilimradi nyumbu wahalifu walikufa wengi zaidi hilo linatosha, amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote , sahivi nyumbu mmeshika adabu mmebaki kuimba taarabu mitandaoni

Mungu akusamehe.
 
Hivi kwanza buyobe yupo nchini? Mafwele naye ni kama kibaka tu, hizo kazi za utekaji na uuaji zipo kila nchi, ila ni very professional, huwezi kuta kiongozi wa hilo genge anajulikana hadu na watoto wadogo mitaani, hii nchi mambo yake yanaenda unprofessional, eti jasusi anaenda kuteka wavuta bangi,halafu yeye mwenyewe anaenda kuwa interrogate, mara eti mafwele anamuambia mateka wake Agatha atuahire atampa mimba, fakin kabisa hii nchi
Mwisho wake utakuwa mbaya sana MAFWELE.
 
Oct 29 kuna ccm kindakindaki walikula chuma.

Wengine walitoka kupiga kura tena wakimchagua huyo huyo lakini walikula chuma.

Haya mambo sio ya kuyafurahia saaana.

Kwa maana huwezi jua siku wala saa, mvua hata wewe inaweza ikakunyeshea na maisha yao yakaendelea kama kawaida.
Mmojawapo
 
Hakuna kosa ambalo kikundi cha utekaji cha Mafwele kitajutia kama kunipeleka kwenye ngome yao, kujionea unyama wao, bila kuficha nyuso zao, chini ya usimamizi wa Mafwele mwenyewe aliyekuwa akinipa ahadi za kutoiona tena kesho.

Msela asili yake noma ila kwenye noma msela hakai.

Pi soma

View attachment 3543115
Sinema Zetu
 
Hii post nimeisearch naona kaifuta tayari na kwa tarehe hizo kwa maelezo yake ni alikua amekimbilia Nairobi tayari kwa kuhofia uhai wake.

Maswali yanakuja kama hakuhusika kwanini alikimbia hotelini Nairobi hadi kwenda Busia mpakani mwa Uganda na Kenya ndio arudi Tanzania.?

Pia Msuya kama hakuhusika kwenye utekaji kwanini nae alikimbilia Namanga mpakani mwa Kenya na Tanzania kisha akarudi Tanzania .?

Maelezo ya Buyobe hayajitoshelezi na inatia shaka hiyo post ilikua ni " RED HERRING" ili wanaharakati waliopo Nairobi waliokua target wamuone sasa nae kaingia vitani na Mafwele hivyo kaamua aungane nao Nairobi na wamkaribishe ila lengo kubwa na halisi hayuko vitani na Mafwele bali anataka awasogeze karibu atimize alichotumwa.

Pia kwanini Msabaha alipokua anatoa malalamiko ya jaribio la kutekwa Buyobe alikua kimya licha ya picha ya Msuya kuwekwa wazi kule X huo mwezi February na ilikatwa kipande picha ambayo walikua wote na Buyobe iweje leo hadi May ndio atolee maelezo kujitetea?
Maelezo ya Buyobe yanazalisha maswali mengi kuliko majibu.
 
Back
Top Bottom