Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,711
- 6,474
Hakuna kosa ambalo kikundi cha utekaji cha Mafwele kitajutia kama kunipeleka kwenye ngome yao, kujionea unyama wao, bila kuficha nyuso zao, chini ya usimamizi wa Mafwele mwenyewe aliyekuwa akinipa ahadi za kutoiona tena kesho.
Msela asili yake noma ila kwenye noma msela hakai.
Pi soma
Msela asili yake noma ila kwenye noma msela hakai.
Pi soma
- Buyobe yupo wapi? Nini kimempata toka achukuliwe na watu waliodaiwa kujitambulisha kuwa polisi?
- Baada ya kelele nyingi mtandaoni, Jeshi la Polisi lamwachia Fortunatus Buyobe kwa dhamana