Buying a Car- car models comparison - Subaru- Freelander - Harrier - Suzuki

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Hello JF members and visitors,

My friend asked me for advice on buying a Car.

Thinking of price, comfort, and withstanding Tanzania roads

Please indicate Car importing Companies.

Looking for used Cars from 2000 to 2004.

Car models considered are:-
-Subaru Forester 4WD Turbo
-Freelander Landrover
-Harrier Toyota
-Suzuki

Please recommend car dealers or commission agents in Tanzania.

What are indicative (approx) prices
 
Also please consider Ford everest, Prado SX Toyota Landcruiser

Budget Million 8 hadi 10
 
I would love huu mjadala uendelee...Na mie nimestack hapo..nina option ya Toyota Kluger,Harrier..Na toyota Volts...Budget 20m. Barabara za mwanza..
 
Mkuu kwa bajeti ya 8-10 milioni kwa gari ulizozitaja na range ya miaka unayotaka huwezi kupata labda Suzuki na Subaru Forester maana hujataja ni Suzuki gani unayotaka. Ila Subaru Forester hayafai hata kidogo na hata bei zake ni ndogo sana gonga HAPA uone. Na kwa ushauri ni kuwa Commission agents wa Bongo ni walanguzi (maana kuna madalali wako pale na wanaweka chao cha juu) na watakuuzia magari yasiyo na ubora. Ni bora ukaagiza mwenyewe kutoka Japan, ni rahisi na uatapata gari zuri. Vinginevyo ununue kwenye makampuni ambayo yamefungua matawi yao Bongo e.g Autorec (they are a bit expensive but have high quality cars), LUCUS etc.
 
I would love huu mjadala uendelee...Na mie nimestack hapo..nina option ya Toyota Kluger,Harrier..Na toyota Volts...Budget 20m. Barabara za mwanza..

Buswelu wang'wa baba, kwa bajeti yako kwa gari ya kuanzia mwaka 2001 (kukwepa faini ya uchakavu) unaweza kupata Harrier na Volts. Kluger naona bado ziko ghali kiasi. Volts na Harrier zote ni gari nzuri na unapata 4WD. Sasa ukija kwenye ulaji wa mafuta ni bora ukanunua Volts maana injini yake ni 1800cc wakati the lowest kwa Harrier ni 2400cc. Check hii HAPA
 
Yeah,

Thanks.

Suzuki Vitara

Subaru

Ford Escape

Prado SX is OK

Budget 8 to 10 million
 
BMW ningekushauri ukaiangalia kwa mapana zaidi maana spea ni matatizo kidogo tena ghali.

Ukiwa unapenda space kubwa, speed na comfort kwa kweli Harrier ni safi sana

Benz C200 pia ni nzuri na uzuri wa Benz ziko very stable na unaweza kuendesha speed kubwa bila ya kuhisi lakini spea hakuna feki
 
kwa budget mkuu ni Subaru forester na tena sio ya mwaka 2002 au tatu...suzuki pia ila TD01W tu ,TD51W au TD02w itaipata kwa taabu. hayo mengine budget itakusumbua mkuu. kama prado sx tunaweza kusema ushuru wake karibia budget yote.
Also please consider Ford everest, Prado SX Toyota Landcruiser

Budget Million 8 hadi 10
 
KWA BUDGET YAKO YA 8 - 10 KAMA UNAENDESHA HAPA HAPA DAR - GO FOR NADIA 3S ENGINE - VERY COMFORTABLE - NJE UTAONA KAMA SIO NZURI SANA LAKINI NDANI - UNAKUWA KAMA UKO KWENYE KLM - NA KAMA UNATAKA GARI YA KWENDEA SHAMBA - GO FOR A PICK - UP - HAPA MJINI BARABARA ZA MTAANI ZIMECHONGWA NYINGI - JIMWAGE TU NA SALOON OTHERWISE

FOR A 4W - ONGEZEA BUDGET YAKO.
NDIO USHAURI WANGU HUO.........................:smile-big:
 
mimi nina tyota altezza gita ya 2002 ndo natarajia this wiki itoke mombasa naiuza 10ml if ua interested pm me
 
Hello JF members and visitors,

My friend asked me for advice on buying a Car.

Thinking of price, comfort, and withstanding Tanzania roads

Please indicate Car importing Companies.

Looking for used Cars from 2000 to 2004.

Car models considered are:-
-Subaru Forester 4WD Turbo
-Freelander Landrover
-Harrier Toyota
-Suzuki

Please recommend car dealers or commission agents in Tanzania.

What are indicative (approx) prices
Freelander na Subaru kaa nazo mbali Toyota ukiweza kupata RAV 4 yenye engine ya 3S itafaa sana has kwenye ulaji wa mafuta. Wasi wasi wangu budget yako ni ndogo. Iongeze.
 
Mkuu budget yako ni kwa saloon cars,ila kwa hapa Bongo unaweza kupata Escudo na hata RAV 4 ila kuinunua mikononi mwa mtu (3rd Hand).
Kama unafahamu gereji maarufu za huko Ilala jaribu kuwaona mafundi wakati mwingine unaweza pata ya mtu ndo kwanza kaiingiza ia amepigika.
 
Buswelu wang'wa baba, kwa bajeti yako kwa gari ya kuanzia mwaka 2001 (kukwepa faini ya uchakavu) unaweza kupata Harrier na Volts. Kluger naona bado ziko ghali kiasi. Volts na Harrier zote ni gari nzuri na unapata 4WD. Sasa ukija kwenye ulaji wa mafuta ni bora ukanunua Volts maana injini yake ni 1800cc wakati the lowest kwa Harrier ni 2400cc. Check hii HAPA
Muungwana inaonekana una uzoefu sana na uagizaji magari, hebu tusaidiane mchakato baada ya kuagiza gari unakuaje kuanzia kulitoa bandarini, kuliandikisha na madude mwngine na vitu gani vinahitajika? Maana wengine tumechoka na hizi 3rd hand cars twataka 2nd hand sasa.
 
Back
Top Bottom