Button ya UNLIKE

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
53
Naomba MOD utuwekee ki button cha UNLIKE kama kale ka like, kwa sababu kuna posts au comments ambazo zinaboa kweli, badala ya ku-reply with history, unabonyeza hiyo UNLIKE.

Infact hii itatusaidia hata kujua members wanao post 'pumba' kulingana na UNLIKE ngapi wamepata.

This is just my suggestion!:becky:
 
Mliwekewa poll mpige kura GROAN irudishwe hamkupiga sasa ndo mnaitaka??!
 
Naomba MOD utuwekee ki button cha UNLIKE kama kale ka like, kwa sababu kuna posts au comments ambazo zinaboa kweli, badala ya ku-reply with history, unabonyeza hiyo UNLIKE.

Infact hii itatusaidia hata kujua members wanao post 'pumba' kulingana na UNLIKE ngapi wamepata.

This is just my suggestion!:becky:

Ni UNLIKE au dislike?
 
Back
Top Bottom