Butimba

Wafungwa Walioachiwa Kwa Msamaha Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Siyo Vibaya Sana Wakionana Na Kamanda Wao Popote Alipo Wakaagana Tena. Sawa Sawa Sawa πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘
 
Kwa utumishi wa jeshi ninavyo ujua mm...Pale ilionekana kama yameisha hivi kwenye media...ila sipati picha hilo seke seke la uyo kamanda alichofanyiwa...atakuwa alipitia wakati mgumu sana maana kuondolewa nyota moja haivuliwi kama unatoa taji la sherehe...inatolewa hiyo nyota uku unaomba ugewe maji ya kunywa
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apewe Maji Ya Kunywa Aupooze Moyo Kwa Maumivu Ama?
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€”πŸ˜πŸ˜πŸ€¨πŸ€¨πŸ˜‘πŸ˜‘
 
Uongo uongo ni tabia za kike. Kama ni mwanaume basi kuna shida mahali! Unaanzisha Uzi kufurahia anguko la mtu mwenye haki ili upate nini? Akishushwa cheo unapewa wewe? Kwa taarifa yako na Mazuzu wenzio mnayemsema anamalizia mafunzo ya nyota ya 3 (ASP), April 8 anavishwa rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliipata hiyo nyota ya 3???
 
Back
Top Bottom