Butimba Teachers College

Butimba Teachers College

Plz dikai nipe source nihakiki maana kuna mtu alinijuza kuwa shinyanga first year tutaripoti tarehe 20 et! halaf kuna chuo flani cha ualimu pia nilijuzwa et kitafunguliwa mwezi january mwakani sasa ndo maana bado ninautata nisaidie tafadhali
 
1.rocall saa 11:30 kila wikend na sku za skukuu
2.kuhudhuria mpango kazi kila j3,alhmis na jumamos
3.kusafisha eneo la bweni na eneo la taaluma
4.kuhudhuria clubs kila j5
5.ukitoka eneo la chuo na sare za chuo

Hapo ndipo ninapochukia vyuo vya ualimu.. wanachuo wanakuwa kama wanafunzi wa shule ya msingi.
 
wakuu nimechaguliwa hapo ,baada ya kufukuzwa udom, any information please kwa anayekijua au anayesoma ,
 
Kile c cha primary sasa imekuaje wakapelekwa watu wa physics na biology wakafanye nin sasa pale
Kwani hao hawakusoma Physics na Chemistry? Alafu wote si mmemaliza form 4 au unafikiri wanaoenda hapo ninwaliomaliza darasa la 7
 
Nenda utamkuta sarawa na ambrose,kipindi tupo pale walikuwa kavu na sheria zilikuwa ngumu sana.
 
1.rocall saa 11:30 kila wikend na sku za skukuu
2.kuhudhuria mpango kazi kila j3,alhmis na jumamos
3.kusafisha eneo la bweni na eneo la taaluma
4.kuhudhuria clubs kila j5
5.ukitoka eneo la chuo na sare za chuo
6.Kulima na kupalilia shamba la mkuu wa chuo.
 
Back
Top Bottom