Yeah, Naona Udom Wanazngua Mkopo , Lakn Uzr Nliapply Wakanchagua Butmba Kama Mkopo Mkorogo Naenda Butmba Faster
Kurpoti Tar 09 Mwez Huu-tar 22
Kwa hiz sheria me ningetimuliwa mapema tu, ila komaen mmalize msizingue1.rocall saa 11:30 kila wikend na sku za skukuu
2.kuhudhuria mpango kazi kila j3,alhmis na jumamos
3.kusafisha eneo la bweni na eneo la taaluma
4.kuhudhuria clubs kila j5
5.ukitoka eneo la chuo na sare za chuo
Kwa hiz sheria me ningetimuliwa mapema tu, ila komaen mmalize msizingue
No, 1st Year Mtatutesa Au?
Wakuu mwenye info.. za shinyanga teachers college hasa kuhusu tarehe ya kuripoti na joining instruction atujuze pia "natanguliza shukrani kwa mwenye msaada"
Kwa mwenye kujua ipi ni bora zaid kwa mtu mwenye nia ya kujiendeleza zaidi kati dip in primary educ inayotolewa vyuo vikuu na ile inayotolewa kwenye hizi TTC mfano Butimba Mpwapwa nk
Nimekuelewa mkuuvyuo vya ualim km butimba ndo bora coz kwanza ndo vyuo maalum kwa hiyo elim hv vyuo vikuu wanaweka ili kuongeza idad ya wanavyuo pili vyuo vikuu vipo after money tatu vyuo vikuu vina wataalam wa degree ila vyuo vya ualim ni wataalam walosomea kitu unachoenda kujifunza nne vyuo vikuu vimejaa migogoro mbalimbali km vile kukosa boom,mikopo wakat kule ukishalipa ada umemaliza msos na kulala ni bure mwisho vyuo vikuu wanafundisha ili mradi ipite uelewa usielewe shaur lako NADHAN UMENISOMA BRO