coracoid fossa
Member
- Aug 22, 2016
- 55
- 43
Magufuli naona alichemsha sana alipokatiza sherehe za mwenge dakika za mwisho na kuamuru fedha zirudishwe, huwezi wapelekesha watu hivyo na wakaridhika na wewe
tembo tena jamani.....uuuwiiii,sasa wanalinganisha mdomo,miguu,au mkia
Haya bhaana tukisema wengine hawakawii wa TCRA kutuchimba biti, bora wamesema wenye chama
Kukurupuka na mwendokasi ndiyo zake hizo sasa anaisambaratisha nchi. Sitaki mtu anicheleweshe, msinijaribu. Usijaribiwe wewe Mungu!? Mungu pekee ndiye hajaribiwi. Haya akina Warioba, Mwinyi na Butiku wameshakujaribu kurupuka dhidi yao basi tukuone.
Kuwanyima posho za mwenge akili zimewarudiWameamua kufanya kweli, makombora mazito mazito ndani ya Ikulu. Asiyetaka kujaribiwa wamemjaribu, ole wake waliokuwa naye karibu atawatumbua wote.
Ulitegemea asome hii habari kwenye jarida la uhuru?Kwa hiyo unaamini Rais Magufuli ni tembo?
Unasoma heading ya gazeti la CHADEMA halafu unakuja mbio Jamiiforums kuweka thread.
Hivi akili zenu mmemkabidhi nani?
Mkuu una uhusiano na Tyta? Maana kipindi hicho alikuwa hakosi picha kwa kila issue mezani
Hivi kwanini unapenda kubisha vitu visivyo na maana ? Kuna mada Jana Mwinyi alisema nchi inaendeshwa kama gari bovu ...ukaishia kubishia hiyo kauli ya gari bovu kana kwamba Tanzania hii wewe peke yako ndio una uwezo wa kupambanua mambo ,ukaulizwa kukatika kwa uhusukani maana yake nini hukujibuKwa hiyo unaamini Rais Magufuli ni tembo?
Unasoma heading ya gazeti la CHADEMA halafu unakuja mbio Jamiiforums kuweka thread.
Hivi akili zenu mmemkabidhi nani?
Kifupi hatufai hatuwezi kuishi hivi banaNi ngumu sana kumtete huyu mtu sasa hivi, hivi unaanzia wap? Msd hakuna madawa, ajira vijana hawana, mtaani maisha magumu, vyakula kila kitu kiko juu, telll huyu mtu kasaidia ninh? Everything is worse? Kagera kashidwa wasaidia, anatangaza kila siku kapokea michango, rai kule bado wanalala nje, ata kukanyaga kule kaonwa nongwa, hivi una mtetea vip huyu mtu? Ndege?!! Nini ndege, we need improvement of life ya watanzania that should the first consideration. Nani asie raumu hii leo?
Watanzania 400000ni vichaawaliosalia wengi wanatumia 1%ya akili zao......Aah kumbe gazeti.la mbowe.
Mazingaombwe
Chadema ama la lazima juma aambiweKwa hiyo unaamini Rais Magufuli ni tembo?
Unasoma heading ya gazeti la CHADEMA halafu unakuja mbio Jamiiforums kuweka thread.
Hivi akili zenu mmemkabidhi nani?
Imekuuma huyu unayehisi ni mungu kutiwa mabovuHawa jamaa dawa yao za uso.tu.
Vitoto viongo ongo, vinarithi unafiki
Anajitengenezea wapinzani wapya ndani ya chama chake.... 2020 itakuwa ngumu sana kwa jpm kuliko anavyodhani..Magufuli naona alichemsha sana alipokatiza sherehe za mwenge dakika za mwisho na kuamuru fedha zirudishwe, huwezi wapelekesha watu hivyo na wakaridhika na wewe
Mimi sitaki kuona hata picha yakeApewe za uso tu, manaake hakuna namna sasa, kiukweli tumemchoka mapema sana, kifp hatufai