Butiku aionya CCM kuelekea uchaguzi 2015

Butiku aionya CCM kuelekea uchaguzi 2015

Wapi kina ifweero,simiyu yetu,nape,mwigulu na crew nzima ya lumumba?
 
hawa kina Butiku, Warioba, Salim, Nyerere Family etc si ndo walipaswa kutoka kabisa CCM ili kuonesha wako serious na wamechoka na kusema bila kusikilizwa???

Mimi naona wako CCM kihistoria tu, lakini kiuhalisia sidhani.
 
Mzungu yupo duniani kwa ajili ya kuongoza wajinga WAAFRIKA TU. Waafrika hatuwezi kujitawala wala hatuna akili hiyo.

Comrade, inafanana na kweli lakini ni chungu sana. Yaani ni msumari wa inchi sita kwenye jeneza!
 
Butiku,warioba,salimu ahmed salim wameleta mfumo wa katiba mpya huo maksudi kuimaliza magamba,na kweli wanakufa 2015 magamba hawana pakutokea kupitia katiba mpya wamekwisha

CCM inajua kabisa kuwa katiba mpya ndio mwisho wao, kwa hiyo cha muhimu ni kuiahirisha ili waendelee kuwepo madarakani.
 
Back
Top Bottom