Buswati la Royal Tour

Tunaambiwa waarabu wa loliondo ni miongoni mwa waluochangia

Kumbuka hawa waarabu ndio wanataka wamegewe nchi kule ngororongoro
Ndugu zake mama warabu wenzie wameinunua Ngororo
 
Kiranga acha maneno mengi sana, mbona una kiranga sana wewe.! Maelezo mengi ,
jibu swali hili hapa chini la muheshimiwa Kalamu1. 👇🏾👇🏾👇🏾

 
Kiranga acha maneno mengi sana, mbona una kiranga sana wewe.! Maelezo mengi ,
jibu swali hili hapa chini la muheshimiwa Kalamu1.

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Nikijibu swali na kuliweka jibu chini ya pua yako utaliona jibu au utasema nimeandika maneno mengi?

Kama haya maneno mengi utaweza kusoma "War and Peace"?

Uvivu wako wa kusoma halafu lawama unanipa mimi?

Kujamba ujambe wewe, lawama unipe mimi?
 
Unazunguka tu, hujaeleza chochote kinachoeleweka.
Andiko lako pale juu halijibu swali hata moja kati ya yale niliyouliza. Wala haieleweki unatetea jambo gani kati ya yale yaliyoguswa kwenye maswali niliyouliza.
 
something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala.
Hakuna mahala binadamu amewahi ridhika,
Wakati wa Nyerere Maneno,
Wakati wa Mwinyi Maneno,
Wakati wa Mkapa maneno,
Wakati wa Kikwete Maneno,
Wakati wa Magufuli maneno,
Wakati wa Samia naye maneno,
Hv ni lin ninyi wanadamu mtakuja shukuru kwa jema katika utawala uliopo?
 
Unazunguka tu, hujaeleza chochote kinachoeleweka.
Andiko lako pale juu halijibu swali hata moja kati ya yale niliyouliza. Wala haieleweki unatetea jambo gani kati ya yale yaliyoguswa kwenye maswali niliyouliza.
Huwezi kuelewa non-Euclidean Geometry kama huelewi hata axioms za Euclidean geometry zikoje.

Sina muda wa kujadiliana na watu ambao hata hatuwezi kukubaliana kuhusu framework ya majadiliano.

Mtu unaniambia sijakujibu hata swali moja, huoneshi kwa nini sijakujibu ili tuchambue kama nimekujibu au sijakujibu.

Wewe si mjinga tu, wewe ni mjinga mvivu.
 
Wamatumbi wangelalamika tu SSH afanye au asifanye.
 
Sikatai hoja zako.. lakini oligarchs watakuja na wata invest kwa kasi sana ndani ya NCA.
Je, tupo tayari kunufaika??
 
Huwezi kuelewa non-Euclidean Geometry kama huelewi hata axioms za Euclidean geometry zikoje.
Sasa hizi takataka hapa zinasaidia kitu gani kama siyo kuonyesha ulimbukeni! Haya mimi yatanisaidia kitu gani.

Ina maana huna uwezo wa kujifunza chochote. Unaendeleza yale yale tuliyokwishayamaliza kati yetu siku nyingi zilizokwishapita hapa hapa JF.
 
Kwa nini hakuna anayejua hizi filamu za "Royal Tour" hazikuanza Tanzania?
Ni mfululizo wa filamu kuhusu nchi mbalimbali. Huyu Bwana Greenberg alipata tayari maraisi, wafalme na mawaziri wakuu wa nchi kama Jordan (akiongozana na mfalme Abdallah), Israeli na Newzealand (na mawaziri wakuu Netanyahu na Clark), Mexiko na Rwanda (akiongozana na marais Calderon na Kagame).
Hao wote walitangulia kumwongoza Greeneberg katika nchi zao. Yule Bwana anaweka filamu zake kwenye TV ya CBS ambako mamilioni wanaiangalia, na filamu zake zinanunuliwa pia na TV za nchi nyingine.
Ukitaka biashara, tangaza. (hii angalau elimu kati ya watu wanaofaulu biashara).
Ukitaka kufikia wateja wengi, tangaza penye wengi (Marekani ni soko kubwa zaidi duniani hadi sasa)
 
Heloow piraa
 
Nahisi hii nchi tuko na tatizo la kisaikolojia sasa;

Kila tukimuangalia MAMA tunaona kama anatuangalia kwa dharau hivi halafu katoka kanchi kadogo halafu mwanamke -inferiority complex

Kwa hiyo na sisi ili kujionesha wababe tunamjibu kwa kudharau kila anachofanya.

Na yeye anaona mnaleta dharau basi anaamua kufanya anachofanya na kuwachana laivu kibabe💪

Solution; Psychological counselling -Wapi DR. Elli? Nnaweza kuwa nimefupisha na kurahisisha sana vijifact ila msingi unabaki kuwa tuko na tatizo kubwa sana la kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…