Buswati la Royal Tour

1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo...
Sijui nani alipendekeza, lakini idea ya mkuu wa nchi kushiriki hivi ndiyo format ya documentaries za Royal Tour.

Wamefanya hivyo wakuu wa nchi/ serikali wa Poland, Mexico, Israel na Rwanda kabla yetu.

Kwa hivyo si kitu kilichoanzishwa na Tanzania.

Sitetei Royal Tour, naeleza kuelewesha tu kwamba hii ndiyo format ya documentaries hizi za "Royal Tour" na zipo nyingi kabla hii ya Tanzania.
 
Wabongo kutwa kulalamika

Hebu punguzeni malalamiko

Hii kitu ingefanyika kenya ,wakenya wasingem criticise kiongozi wao!

Taifa hili nenda rudi limekuwa la malalamiko tu

Ova
 
Tufanye lipi ndgu yetu....

Tunakusikiliza
 
Sijui nni alipendekeza, lakini idea ya mkuu wa nchi kushiriki hivi ndiyo format ya doc umentaries za Royal Tour...
Uzuri wa jf kila ukikaribia kukata tamaa na kutaka kukasirika kutokana na malundo ya threads na comments za wajinga wasiojua chochote lakini wenyewe wakijihisi ni mabonge ya wajuaji, basi unakutana na maelezo yaliyonyoka kama hivi.

Yako neutral na yanaonyesha kujua na kufahamu utaratibu. Labda tungetumia muda wetu wakati mwingine kujifunza kwanza kabla ya kukurupuka na kuanza kuongeaongea tu tusiyoyajua kwa kofia ya kuwa na chuki tu dhidi ya huyo samia.

Nina uhakika, km ingelikuwa imechezwa na marehemi jpm hii, wangelikuwa wanakesha kusifia humu kuwa ni bonge la mzalendo.

Watu wameathiriwa akili kwa kiwango cha kutisha sana, kila kitu na kila wakati mtu anazungumzia habari za kuibiwa tu; sijui wamewahi kuibiwa huko majumbani kwao na wake zao ndo maana?!!!

Watu wako mtaani huko wanajitembezea bakuli kimyakimya.....nje ya mada kidogo!
 
Tufanye lipi ndgu yetu....

Tunakusikiliza
🤣🤣🤣🤣🤣

Sidhani km ana lolote la maana la kupendekeza sababu hata alichokiongea hata hajui ameongea nn, amejikuta tu ameshaongea.......chuki na mkumbo!
 
Ondoa kukamatwa mkono na yule mzungu! Lugha ya kibaguzi ikiwa na maana angekuwa mweusi lisingekuwa tatizo, ila hapo tatizo ni rangi ya mtu!
 
Na je, tukiwa hatuna Rais utafanyaje! Sikuelewi.
 
Naheshimu mawazo yako but not necessarily. Nothing is wrong, huu sasa ndio mpango wa Mungu kwa nchi yetu!
P.
Ni Tanzania pekee ukiwa madarakani hata kwa kupora ushindi unaitwa ni mpango wa Mungu.
Nahisi mungu wa Tanzania sio Mungu wa Mataifa mengine
 
Ni Tanzania pekee ukiwa madarakani hata kwa kupora ushindi unaitwa ni mpango wa Mungu.
Nahisi mungu wa Tanzania sio Mungu wa Mataifa mengine
Mungu ni chaka la kufichia mambo tu.

Kiuhalisia hayupo.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu anayeweza kukuthibitishia uwepo wa huyo Mungu.
 
Abdulhaman Kinana Makamu Mwenyekiti wa ccm ndio agent / lobbyist wa hawa waarabu wa Loliondo!! Nchi imeuzwa hii.

Yeye ni Raia wa makaratasi si mzawa.
 
Ahahaaaa...

Naona kama unakumbusha kifo cha Bob Marley, yaani anakutana na mzungu kama huyu alafu anampa zawadi ya viatu kumbe anampa zawadi ya kifo.


*The gift of death.
 
Filamu kama hii inayomuhusisha kiongozi wa nchi kama mshiriki imeshafanyika kwenye nchi kadhaa kama Rwanda (Kagame akihusika),
Israel (Netanyau alihusika).

Sio jambo jipya kufanyika, ni wazo zuri ila tija yake ni ya kusubiri.
 
1. Je, ni nani aliyeleta IDEA ya Royal Tour kwenye meza ya IKULU na ni nani aliyependekeza Rais wa nchi awe Tour Queen na kuzunguka na mwandishi wa habari kukamilisha zoezi hilo?
Royal Tour ni idea ya mzungu na ililetwa na mzungu akisaidiwa na wazawa.
Pamoja na misaada yao, mzungu hajawahi kuwa mtu mwema kwa black people
Royal Tour nzima (kuanzia field work, uchakataji na uzinduzi) haijatumia gharama zozote za bajeti yetu wala fedha zetu. Kila kitu kimelipiwa na wenye idea yao.
Usiri mwingi umegubika suala zima la ROYAL TOUR. Yawezekana tumepigwa big time!
Na kama kawaida yetu ROYAL TOUR taratibu itaanza kuingizwa kwenye mambo "matakatifu" yasiyoruhusiwa kuhojiwa.
The whole Royal Tour is a big TIME behind the scene na ni jukumu letu watanzania ku pay attention;
Tunashindwa kupay attention kwenye mambo ya msingi kabisa yenye manufaa kwa watu wetu, sasa haya ya Royal Tour yasiyoeleweka tutafanikiwaje? Je lile jumuiko haramu ndani ya bunge letu tumepay attention kweli? Na huko kwenye serikali za mitaa tumefanya nini kupinga yaliyofanyika? Ukishakubali kupokea au kufanya mambo ya ovyo wengine wanakuona uchochoro wa ovyo ovyo kupitishia mengi ya ovyo ovyo!
Kupay attention ndo kumkumbuka JPM na kutaka awekewe sanamu??
Tulipopinga Wamasai kuondolewa kwa dharura kwenye eneo la Ngorongoro wengi walihisi kama tunaipinga awamu ya 6 na tunakwamisha juhudi za SSH.
Kiini cha ROYAL TOUR yote ni kuwaondoa Wamasai NCA ili matajiri waje wawekeze mle bila bugudha. Tulijieleza vizuri lakini chawa wa ccm hawakutuelewa.
Kama lengo lilikuwa kuutangaza utalii wa Tanzania ni kwa nini hawakuigiza walahu kwenye emerging tourist circuits zinazopata taabu kuchuana na northern circuits?
Hiyo ROYAL TOUR ndo mdhamini wa operesheni ya dharura ya kuwaondoa Wamasai na kuwajengea kule Handeni bila hata kuwashirikisha kupata ridhaa yao.
(Katika historia... Wamasai wengi waliohamishiwa Handeni/Kilindi miaka ya nyuma waliishia kufa kutokana na changamoto ya mbu wa Malaria. Ngorongoro hakuna mbu wa Malaria!)
something is wrong kwenye huu utawala, something is not okay kwenye huu utawala .
Zitakuja kujengwa hoteli za magorofa kwenye hifadhi zetu zikilaza watalii na kutoa fursa nyeti za ajira kwa wageni huku sisi tukiachiwa uchafuzi wa mazingira, kuongoza wageni, kuhudumia chakula na kutandika vitanda kwa ujira wa kitumwa!

Niungane na Freeman A. Mbowe... ccm imeshindwa na haitoweza kututoa kwenye mikwamo mingi iliyotutumbukiza!

Tujifunze kushikamana tunapotetea maslahi ya taifa hasa kipindi hiki ambapo hakuna siasa za upinzani!

Wenyewe wanasema ukitaka kula lazima ukubali kuliwa kidogo... HAPANA! ROYAL TOUR oligarchs wanakula pakubwa sana tena kupitia kwa namba moja, SSH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…