Busu kwa mara ya kwanza, baada ya miaka mitatu, (1st kiss afta 3 years in relationship)!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
wachumba wawili, raia wa marekani wamepigana busu kwa mara ya kwanza tangu walipoanza uhusiano wao miaka mitatu iliyopita. Busu hilo lilipigwa kanisani mbele ya Mchungaji na kuutangazia umma rasmi uhusiano wao. SWALI: wewe tangu mkutane na mchumba/Mpenz wako ktk kipindi chenu mshapigana busu mara ngapi? Iliwachukua muda gani kupigana busu? Hili jambo la kupigana busu la kwanza kwa baada ya miaka mi'3 ya uhusiano wa uchumba kibongo bongo wazani yawezekana? TUJADILI KWA PAMOJA wenye wachumba na wapenzi twategemea experiences zenu zaidi...
 
labda walikuwa wanachat online na relationship ilikuwa ya online na hawakuwahi kuonana,so walipoonana wakaamua waende direct hadi kanisani ila bila hivo kwangu ni ngumu kuamini.
 
Bado ni ngumu kuamin coz hata kama walikuwa wanachat online , walipoonana kwa mara ya kwanza kbla ya kufka kanisan inamana hawakubusiana kwa furaha ya kuonana? Ni ngumu aisee bt labda...
 
Mbona ya kawaida hayo! Upate mwanamke milionea na unakusudia kupata senti zake kupitia ustaarabu kwa nini ushindwe kumsubiri hata kama ni miaka kumi (10yrs). Ukiona hivyo ujue hawavutiani sexually. Otherwise, si kukiss tu bali wangechapana kabisa. Walokole wenyewe wanaonjana na kusema ni pepo halafu wanamkemea (Pepo) baada ya kufika kileleni na kumaliza haja zao iweje hao watu wa f*****g all times weweze kirahisi bila ajenda za siri? Ni mtazamo tu.

wachumba wawili, raia wa marekani ..........
 
Bado ni ngumu kuamin coz hata kama walikuwa wanachat online , walipoonana kwa mara ya kwanza kbla ya kufka kanisan inamana hawakubusiana kwa furaha ya kuonana? Ni ngumu aisee bt labda...
Ila ni ngumu maana kuonana mara ya kwanza nadhani ngumu kuzuia feelings za kubusiana
 
labda walikuwa wanachat online na relationship ilikuwa ya online na hawakuwahi kuonana,so walipoonana wakaamua waende direct hadi kanisani ila bila hivo kwangu ni ngumu kuamini.
Mkuu Exellent hapa upo wrong, hawakuwa na relationship ya online. Hawa walikuwa walimu tena walikuwa wanafundisha shule moja na hapo shule ndipo walipokutana!
 
Bado ni ngumu kuamin coz hata kama walikuwa wanachat online , walipoonana kwa mara ya kwanza kbla ya kufka kanisan inamana hawakubusiana kwa furaha ya kuonana? Ni ngumu aisee bt labda...
We unadhani kwa nin ilikuwa ngumu? Busu lao la kwanza limepigwa madhabahuni mbele ya Mchungaji na kadamnasi! Amini mkuu? Wewe na mpenz wako iliwachukua muda gani?
 
Mbona ya kawaida hayo! Upate mwanamke milionea na unakusudia kupata senti zake kupitia ustaarabu kwa nini ushindwe kumsubiri hata kama ni miaka kumi (10yrs). Ukiona hivyo ujue hawavutiani sexually. Otherwise, si kukiss tu bali wangechapana kabisa. Walokole wenyewe wanaonjana na kusema ni pepo halafu wanamkemea (Pepo) baada ya kufika kileleni na kumaliza haja zao iweje hao watu wa f*****g all times weweze kirahisi bila ajenda za siri? Ni mtazamo tu.
Mkuu kibongo bongo hili swala walionaje? Hawa ni wamarekani tena walimu, si matajiri hawa! 3 years duh!
 
Ila ni ngumu maana kuonana mara ya kwanza nadhani ngumu kuzuia feelings za kubusiana
Wenzako wamekaa ktk mahusiano 4 three fackyying years, tena bila hata kiss teh! We ilikuchukua muda gani na shemeji?
 
We unadhani kwa nin ilikuwa ngumu? Busu lao la kwanza limepigwa madhabahuni mbele ya Mchungaji na kadamnasi! Amini mkuu? Wewe na mpenz wako iliwachukua muda gani?

Mh!.. Labda kweli ila mi bado siamini...
 
Back
Top Bottom