mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,761
structure:the arrangement of and relations between the parts or elements of something complex.Unaweza ukanipa uthibitisho kuwa hiyo gharika ilibadilisha structure..??? Na kwanini ufananishe jiografia na structure....
What is structure...??
What is geograghy..??
Gharika haikuangamiza dunia nzimakwa mujibu wa bibilia. gharika ikiangamiza dunia nzima.
mwanzo 9:13-17Gharika haikuangamiza dunia nzima
Wewe unawaza kitoto sana....mwanzo 9:13-17
upinde wa mvua ungekuwa hukohuko ilikonyesha.
pia maji akifunika mlima everest wapi ambapo hapatakuwa na hayo maji duniani.
maoni mazuri yaliyichanganyikana na kupanic.Wewe unawaza kitoto sana....
Wewe unaweza sema ni kweli nyoka(kama nyoka) ndiye aliyemdanganya Eva....
Poor you
Yani wewe nahitaji nikae sawa nikufundishe Jinsi ya kuielewa biblia..maoni mazuri yaliyichanganyikana na kupanic.
jibu hoja (nuhu) sio eva mtumishi otoro...
usitawanye mtirirko
Labda nikuulize swali,fuvu la binadamu wa kale kabisa limepatikana nchi gani?ni sehem gani wanyama wengi wanapatikana sehem 1 kwa mkupuo?ni nchi gani ambayo Mungu aliumba kila kitu kabla hajapumzka siku ya 7.mi nadhan ukijibu hayo maswali utagundua bustani ya eden ndo Tanzania/tanganyikaHii bustani ambayo 'inasadikika' kuwa waliishi ADAMU NA HAWA/EVA ipo nchi gani?
jibu hoja, sijakukataza kutumia tafsiri unazozijua au hayo mafunzo unayodhani nayahitajiYani wewe nahitaji nikae sawa nikufundishe Jinsi ya kuielewa biblia..
Tatizo ulilonalo ni kutafsiri biblia neno kwa neno badala ya kutafsiri maana kwa maana...
Kumbe nyoka gani kama sio nyoka huyu huyu , shetani alimuingia huyu nyoka , hata ukiangalia reality baada ya ile dhahama nyoka amekuwa adui mkubwa kwa viimbe woteWewe unawaza kitoto sana....
Wewe unaweza sema ni kweli nyoka(kama nyoka) ndiye aliyemdanganya Eva....
Poor you
Hahahahaha....pole sana..ile ni ligha ya picha....Jews walomfanansha shetani na nyoka kutokana na ujanja wake....Wayahudi waliamini nyoka ni kiumbe mjanja sanaKumbe nyoka gani kama sio nyoka huyu huyu , shetani alimuingia huyu nyoka , hata ukiangalia reality baada ya ile dhahama nyoka amekuwa adui mkubwa kwa viimbe wote
Hoja ndiyo nimeshaijibu....Bustani ya Eden ilikuwepo Iraqjibu hoja, sijakukataza kutumia tafsiri unazozijua au hayo mafunzo unayodhani nayahitaji
Mgunduzi wake ni mwana sayansi.Hiyo ya binadamu kuwa ni nyani ni sayansi au historia (sanaa) mkuu ?