aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,227
WanaJamii,
Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na huruma kwa kufika siku ya leo.Nimeona leo,tuache siasa za magufuli kidogo na tuweze kuelemishana ni kuhusu biblia na maandiko matakatifu.
Mwenyezi Mungu anasema,watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa.Kusoama biblia ni sehemu ya kujua mambo na kumjua uweza na utukufu wake Mwenyezi Mungu muumbaji.
Swali la leo,ningependa kujua bustani ya eden ilikuwa wapi katika ulimwengu wa leo.Kwa kifupi tu naweza kusema,wazungu wamepotosha sana khusu hili na kuhusu image halisi ya Mungu wetu pamoja alituumba kutokana na mfano wake;lakni Mungu anaonekana ni mtu mweupe tu.Kwahyo na mambo mengine nahisi yatakuwa yamepotoshwa khusu bibilia tofauti na wenzangu waislam ambao wao vitabu vyao vimebaki kama vilivyo na hadithi zao hazina utofauti na bibilia,tofauti yetu mimi sijui ni wapi.
Hivyo nafungua majadala tujuzane ni wapi bustani ilikuwepo na tutazidi kuulizana maswali pale utata unapokuwa.Nawakaribisha waislam maana wengi wao wanao ufahamu wa kwenye biblia na naomba huu mjadala uwe wa amani?
umesigina katiba,kama ulitaka watu wa kada fulani wakujibu usingeuliza hukuWanaJamii,

nitafanyia kazi. ahsante!!Ref: kitabu kinaitwa the rise of babylon utapata majib yake
unaonaje kwa kutumia hii adea yako mtu akisema ghalika haikuwepo?? au sodoma na ghomora hazikuwepo ni biblical parables???Bustani ya Edeni ni "biblical parable" iliyotumika to describe the "ancient beatiful earth" kabla ya uasi wa Ibilisi na then wanadamu
Kwa Kiebrania neno "Adeni/Edeni" linamaanisha "sehemu nzuri na yenye kuvutia mno." Kutokana na uzuri huo, dunia ilifananishwa na bustani. Sote twajua namna bustani zinavyopendeza na zilivyo sehemu za utulivu na amani.
Kumbuka mwandishi wa kitabu cha Mwanzo, Musa hakuwepo kipindi cha uumbaji ila alipata maono kutoka kwa Mungu. Kama ilivyo kwa kitabu cha Ufunuo wa Yohana, Danieli, Ezekieli, Zekaria nk, kitabu cha Mwanzo kina portions za apocalyptic writings (mafumbo, alama, namba nk). Kwa mfano: Tunda la mti wa katikati, mti wa ujuzi wa mema na mabaya, mti wa uzima, nyoka nk... Haya ni sehemu ya mafumbo hayo.
Jiulize kama Edeni ingekuwa ni sehemu moja duniani, iko wapi sasa? Mungu alipowafukuza watu kutoka Edeni ile na kuweka walinzi alimaanisha nini?
Nikipata muda nitakuja kuelezea.
WanaJamii,
Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na huruma kwa kufika siku ya leo.Nimeona leo,tuache siasa za magufuli kidogo na tuweze kuelemishana ni kuhusu biblia na maandiko matakatifu.
Mwenyezi Mungu anasema,watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa.Kusoama biblia ni sehemu ya kujua mambo na kumjua uweza na utukufu wake Mwenyezi Mungu muumbaji.
Swali la leo,ningependa kujua bustani ya eden ilikuwa wapi katika ulimwengu wa leo.Kwa kifupi tu naweza kusema,wazungu wamepotosha sana khusu hili na kuhusu image halisi ya Mungu wetu pamoja alituumba kutokana na mfano wake;lakni Mungu anaonekana ni mtu mweupe tu.Kwahyo na mambo mengine nahisi yatakuwa yamepotoshwa khusu bibilia tofauti na wenzangu waislam ambao wao vitabu vyao vimebaki kama vilivyo na hadithi zao hazina utofauti na bibilia,tofauti yetu mimi sijui ni wapi.
Hivyo nafungua majadala tujuzane ni wapi bustani ilikuwepo na tutazidi kuulizana maswali pale utata unapokuwa.Nawakaribisha waislam maana wengi wao wanao ufahamu wa kwenye biblia na naomba huu mjadala uwe wa amani?
Mtazamo huu sio valid kwenye maeneo yote hasa uliyotaja hapo. Mengine ni true history.unaonaje kwa kutumia hii adea yako mtu akisema ghalika haikuwepo?? au sodoma na ghomora hazikuwepo ni biblical parables???