Busisi kimenuka!

Busisi kimenuka!

Supu ya kokoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,609
Reaction score
8,298
Serikali na wahusika hii sasa ni aibu....inakuwaje mkose vivuko vya uhakika mpaka kuwachelewesha watu kiasi hiki? Tokea SAA tano asubui hadi sasa (15:55 hrs) jioni bado abiria hatujavuka?

Je muda na gharama zingine mtatulipa? Kwanini mtuingize kwenye gharama za ziada kwa uzembe wenu
Waziri wa uchukuzi na TEMESA mulikeni utendaji wa kigongo ferry....nadhani kuna jambo sio bure
 
Halafu kuna limtu humu jf liliwahi kuleta mada kwamba hilo daraja halina tija, mimi ni mkazi wa hapo Usagara, najua sana umuhimu wa hilo Daraja kuwahi kukamilika na adha ya kivuko hicho,ndiyo maana kwa miaka mingi Kamanga Ferry imekua na wateja wengi sana mpaka pale tu walipoweka lami kuelekea Sengerema kutokea Busisi
 
Hivi kama unatoka Mwanza kuelekea Sengerema kupitia Usagara pale unaposubiria kivuko kwenda upande wa pili ndipo panaitwa Busisi au Kigongo?
 
Mkuu una uhakika mmekaa Massa yote hayo bila kivuko kuja
 
Serikali na wahusika hii sasa ni aibu....inakuwaje mkose vivuko vya uhakika mpaka kuwachelewesha watu kiasi hiki? Tokea SAA tano asubui hadi sasa (15:55 hrs) jioni bado abiria hatujavuka?

Je muda na gharama zingine mtatulipa? Kwanini mtuingize kwenye gharama za ziada kwa uzembe wenu
Waziri wa uchukuzi na TEMESA mulikeni utendaji wa kigongo ferry....nadhani kuna jambo sio bure

Au upige mbizi kama magu alivyosema
 
Jumamos usiku nilikua natoka Geita nakwenda Mwanza, nimefika pale kivukoni saa 3 usiku! Ila kulingana na folen niliyoikuta, tumekuja kuvuka saa 9 usiku! Serikali wangeingilia kati hili swala la vivuko pale Busisi
 
Serikali na wahusika hii sasa ni aibu....inakuwaje mkose vivuko vya uhakika mpaka kuwachelewesha watu kiasi hiki? Tokea SAA tano asubui hadi sasa (15:55 hrs) jioni bado abiria hatujavuka?

Je muda na gharama zingine mtatulipa? Kwanini mtuingize kwenye gharama za ziada kwa uzembe wenu
Waziri wa uchukuzi na TEMESA mulikeni utendaji wa kigongo ferry....nadhani kuna jambo sio bure
Subiria tunakamilisha ujenzi wa daraja Boss
 
Back
Top Bottom