Business Proposal Loan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Business Proposal Loan

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by OGOPASANA, Sep 6, 2011.

 1. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Habari Great Thinkers,
  Eti ni utaratibu gani unahitajika ama unatumika ili kuweza kupata mkopo bank ama katika financial services institution kubwa kwa ajili ya kuanzisha kampuni ama ofisi ndogo binafsi?

  With thanks.
   
Loading...