AMAFUMU
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 221
- 112
wadau mimi ni kijana tu nisiye na kipato chochote ila natamani sana siku nikipata hela nifanye biashara,hivyo yeyote mwenye information za jinsi ya kusajili jina la biashara na gharama zake pamoja na cost wanazocharge,jinsi ya kupata tin no na vingine nisivyovijua naomba msaada kwa hilo