Kozi usha chagua na uko chuoni unasoma kwanini unaleta uzi kama huu? Mkuu mbona kama hujuiamini?Sawa Mkuu, bila shaka mpaka sasa nipo chuo napiga hiyo kozi, nipo UDBS partially na COICT kwa wale wa UDSM wanaelewa
Kwani uzi wa leo huu?Kozi usha chagua na uko chuoni unasoma kwanini unaleta uzi kama huu? Mkuu mbona kama hujuiamini?
Mkuu najiamini sana tena hii kozi naipenda sana.. huu uzi niliuleta mwaka jana mwezi wa kumi kipindi cha kuchagua kozi, naona wewe umechelewa kuuona huu uziKozi usha chagua na uko chuoni unasoma kwanini unaleta uzi kama huu? Mkuu mbona kama hujuiamini?
Ndiyo mkuu.. nilipata msaada wa kutosha na chaguzi nililolifanya ni sahihi kwangu.. imagine saiv napiga codding na niko hapa UDSM 💪..Natumae mleta mada ulipata muongozo...
Asante sana kwa mrejesho.Ndiyo mkuu.. nilipata msaada wa kutosha na chaguzi nililolifanya ni sahihi kwangu.. imagine saiv napiga codding na niko hapa UDSM [emoji123]..
Kumbe business information technology sio technology ndani ya biashara, bali ni biashara ndani ya technolojia..
Yaani tunapiga asilimia 98 ya IT na asilimia 2 ya biashara..
Masomo ya biashara tunasoma tu mwaka wa kwanza tu pamoja na (javascript, c na networking, ).
Kuanzia mwaka wa pili, masomo ya biashara yanakuwa OPTIONAL, ila IT inakua core hadi mwisho..
Kwa yeyote anayetaka hii cozi, asisite, ni kozi bomba sana, unaenjoy codding balaa[emoji123].
Inapendeza sana...Ndiyo mkuu.. nilipata msaada wa kutosha na chaguzi nililolifanya ni sahihi kwangu.. imagine saiv napiga codding na niko hapa UDSM 💪..
Kumbe business information technology sio technology ndani ya biashara, bali ni biashara ndani ya technolojia..
Yaani tunapiga asilimia 98 ya IT na asilimia 2 ya biashara..
Masomo ya biashara tunasoma tu mwaka wa kwanza tu pamoja na (javascript, c na networking, ).
Kuanzia mwaka wa pili, masomo ya biashara yanakuwa OPTIONAL, ila IT inakua core hadi mwisho..
Kwa yeyote anayetaka hii cozi, asisite, ni kozi bomba sana, unaenjoy codding balaa💪.