Hiyo pia ndo imenisaidia kufiksha huo mtaji
hatujui hata uko wapi una mtaji gani sasa tunakusaidiaje hapo??Wana jamii forum wenzangu.naombeni ushauri wa biashara gani zinazolipa ambazo naweza fanya kwa sasa.
Asanteni
Da biashara hiyo tanga kila mahala ipoUza petroli kwenye vijiwe vya bodaboda.
Je kama kuna Petrol station jirani afanyeje???Uza petroli kwenye vijiwe vya bodaboda.
Zinalipa kweli auLima bustan ya mboga mboga kiangaz hiki utapiga sana hela......
Naonawamelala