Business Frames for Rent ( Bonyokwa/Kinyerezi Road)

Business Frames for Rent ( Bonyokwa/Kinyerezi Road)

RaJhumoR

Member
Joined
Mar 1, 2021
Posts
37
Reaction score
45
Hello Habari wana JF

I present you Frame zilizoisha na zinahitaji wateja wenye ndoto za kuanza au kuendeleza biashara zao eneo la Ditopile, Barabara ya bonyokwa to kinyerezi

Frame hizi zipo 9 ila kwa sasa zimebaki 3, Na mkataba unaanza rasmi tarehe 1 June hivyo basi nawaomba na nawasisitiza msipitwe na fursa hii

Bei ya kukodisha Frame ni 100,000 kwa mwezi na malipo ni kuanzia miezi 6 hadi utakapotaka hata miaka 10 😁

Fika karibu au wasiliana nami kwa 0672 303307, Mimi sio dalali hivyo usihofie kutapeliwa au kuombwa cha juu, Fika upate huduma bora na wewe utoe huduma bora kwa wateja wa eneo linalochangamka kwa kasi sana

* Mkandarasi atapitisha lami / Tarmac Road very soon hivyo wimbi la watu / wateja wataongezeka
 

Attachments

  • SmartSelect_20250520_130036_Gallery.jpg
    SmartSelect_20250520_130036_Gallery.jpg
    1.4 MB · Views: 14
  • SmartSelect_20250520_130021_Gallery.jpg
    SmartSelect_20250520_130021_Gallery.jpg
    1.3 MB · Views: 16
  • SmartSelect_20250520_130021_Gallery.jpg
    SmartSelect_20250520_130021_Gallery.jpg
    1.3 MB · Views: 19
  • SmartSelect_20250520_130013_Gallery.jpg
    SmartSelect_20250520_130013_Gallery.jpg
    1.3 MB · Views: 18
  • SmartSelect_20250520_125957_Gallery.jpg
    SmartSelect_20250520_125957_Gallery.jpg
    1.2 MB · Views: 20
  • SmartSelect_20250520_125947_Gallery.jpg
    SmartSelect_20250520_125947_Gallery.jpg
    1.4 MB · Views: 17
Back
Top Bottom