Busara zimeanza kumrudia Harrison mwakyembe

SUPER PREDATOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
2,093
Reaction score
725
Baada ya mwakyembe kuona kila anapomsema vibaya kwenye mikutano yake ya kampeni mgombea urais wa ukawa kupitia chadema mh. lowassa amekuwa akizomewa, sasa ameacha kabisa matusi kwa ukawa na ameanza kujikita kwenye kumwaga Sera, wadadisi wa siasa za kyela na mkoa mzima wa mbeya wanasema hali hiyo huenda pia ikawa imechangiwa na ukimya wa professor mwandosya ambaye anakubalika sana hapa mkoani mbeya. Kuna kila dalili kuwa huenda jimbo la kyela likaangukia chadema endapo prof. Mwandosya hataingilia kati na kumsaidia mwakyembe.
 
Acha mkwara wewe..mwakyembe ndo amewafanya muijue Richmond na wadokozi wake
 
Mwakyembe hajawahi mtaja mhusika mkuu wa Richmond,aliishia kusema kuwa kama atasoma/sema yote, basi serikali ingeanguka.Hansar za Bunge zipo.
Hana ujasiri wa kumtaja mhusika mkuu wa Richmond.
 
Baada ya mwakyembe kuona kila anapomsema vibaya kwenye mikutano yake ya kampeni mgombea urais wa ukawa kupitia chadema mh. lowassa amekuwa akizomewa, sasa ameacha kabisa matusi kwa ukawa na ameanza kujikita kwenye kumwaga Sera, wadadisi wa siasa za kyela na mkoa mzima wa mbeya wanasema hali hiyo huenda pia ikawa imechangiwa na ukimya wa professor mwandosya ambaye anakubalika sana hapa mkoani mbeya. Kuna kila dalili kuwa huenda jimbo la kyela likaangukia chadema endapo prof. Mwandosya hataingilia kati na kumsaidia mwakyembe.

Pengine na yeye ameogopa KUMTIKILIKA Mkuu.
 
Lowasa mwalimu wa uvumilivu wa kisiasa na ukomavu kuliko wote ananidpdhamu na anajiheshimu kama raisi
 
Acha mkwara wewe..mwakyembe ndo amewafanya muijue Richmond na wadokozi wake

Sio mwakyembe aliye fanya tujue Richmond, suala hili lilianzia bungeni, ikaundwa kamati ya bunge na mwakyembe akawa mwenyekiti. Kuwa mwenyekiti hakumfanyi mwakyembe kuwa muibuaji wa kashfa.
 
Back
Top Bottom