Mark Francis
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 605
- 310
Baada ya kulidanganya bunge kuhusu mauaji ya Arusha na kugundua kuwa kweli hakuwa sahihi (Kutokana na Spika kutokumhoji tena Mh.Lema), nilitegemea Waziri Mkuu angetumia fursa ya kuhairisha bunge, pamoja na mambo mengine kwa kuwaomba radhi watanzania kwa matamshi yake ambayo hayakuwa ya kweli.... Baada ya kutafakari tokea jana, nimegundua kuwa PINDA hana busara na hana uchungu kabisa na raia wa nchi hii!?
Huu ni mtazamu wangu, nyie mnalionaje?
Huu ni mtazamu wangu, nyie mnalionaje?