Busara ya viongozi wa cuf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Busara ya viongozi wa cuf

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by in and out, Jul 9, 2011.

 1. i

  in and out Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF ni chama pekee hapa nchini kilichobahatika kupata viongozi wenye busara na upeo mkubwa wa kisiasa tokea 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa chama cha CUF kimeweza kufanya siasa za mikiki mikiki Tanzania bara na Vsiwani mpaka kufanikiwa kuingiza mguu mmoja ndani ya serikali ya Zanzibar baada ya kupoteza wahanga katika maandamano ya january 26 na 27 mwaka 2006.

  Ndipo ilipelekea karume na sefu kukaa mezd moja na kutafuta suluhu ya zanzibar, na kupelekea kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa wana JF watambue kwamba kuwapo kwa serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar ni matakwa ya wanainchi wa zanzibar wenyewe baada ya kupiga kura ya maoni na kuungwa mkono kwa 64% wazanzibar.

  Hivyo basi viongozi wa vyama vingine waige mfano huu kwani siasa za kimataifa zimebadilika, siasa za fujo navurugu, hazina nafasi kwani mwisho wake ni kuishia THE HAGUE uholanzi
   
Loading...