Busanda na Bukwimba mambo vipi?


Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,300
Likes
230
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,300 230 160
Niko kwenye mafungo na Kondoo wachache kuombea taifa zidi ya uchakachuaji! Sina update za kwa mama Leticia na kule kwa Fineas Magesa! Naombeni mwenye fununu!

Mch Masa
 
Nyunyu

Nyunyu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2009
Messages
4,373
Likes
138
Points
160
Nyunyu

Nyunyu

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2009
4,373 138 160
Mkuu hata mimi nina hamu ya kujua Buchaosa imekuwaje, mwenye fununu wakuu!!!
 
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
11,841
Likes
49
Points
145
TUKUTUKU

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
11,841 49 145
Bado tunafuatilia kwa karibu,tutahabarishana baadaye!!
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,641
Likes
32,345
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,641 32,345 280
Nilimuona huyu dada wakati akigombea uchaguzi mdogo, alikuwa mchovu mchovu fulani, hajiamini, wala hana uwezo wa kujieleza. Aliposhinda tuu, akachenge, soap soap kwa sana, ndipo nikamuona na hidden beauty yake she is humble, leo namtafuta kwa simu, simu yako iko off all the time, hiyo ni dalili...
 

Forum statistics

Threads 1,251,559
Members 481,767
Posts 29,775,966