Asante sana mkuu. Kuna mtu kaniambia kuna Aspen Lodge unaifahamu? Usalama upo?tahmeed lina ac na choo.
kilimanjaro lina ac
hizo ndo basi nzuri unazoweza kupanda kwa njia hyo. huduma zao ni nzuri na hawana maudhi.
kuhusu hotel zipo lodge nzuri za bei hyo na zina usalama hapo hapo town
Arusha amna shida ya Ac na kupata hotel n gharama kubwa labda ufikie lodge na panda bus la Dar express la saa 1 kamlLina AC na choo? Guest house kwa Arusha naogopa mkuu usalama nasikia ni kidogo sana huko au?
Umezungumza kwa ufasaha kuliko wote humu,umesahau tv kila kona.njia ya dar to arusha ni tahmeed pekee ndio wamethibishwa na sumatra kuwa ni bus la kifahari(royals)Basi zuri(Full Luxury) kuliko yote njia ya Dar -Arusha ni Tahmeed.baadhi ya hudumu zilizopo ndani ya basi ni 1.Huduma ya choo, 2.Huduma ya wifi bure 3.,Soft drinks bure(Maji na soda),Full AC, Seat zake ni nzuri,speed yai ni nzuri n.k.Ni Tahmeed pekee ambayo ukisoma mlangoni utakuta Sumatra wameandika (Daraja la Juu).nauli yao ni 33,000.Japo kipindi hiki nasikia wameshusha nauli mpaka 28,000(Sina uhakika). Ukiacha Tahmeed mabasi mengine ya dar -arusha yanafanana tu yote ni yale anbayo Sumatra wanayaita ya daraja la kati au daraja la kawaida.
Wakuu hasa wenyeji wa njia ya Dar - Arusha, naomba kujua Bus zuri (luxury) kuliko yote na la bei kubwa kuliko yote ni lipi na ni bei gani? Kwa wenyeji wa Arusha Hoteli gani nzuri ya kati ya Tsh. 30,000 - 50,000? Natanguliza shukrani zangu.
CHAKITO LONG WAY ndo mpango mzima. Unalijua?tatty njoo utusaidie huku, nataka kuja Dar
AC sawa kuhusuu choo cjaona basi linaloenda huko lenye chooLina AC na choo? Guest house kwa Arusha naogopa mkuu usalama nasikia ni kidogo sana huko au?