Washenzi hao
Duh kumbe ni tabia yao!!Yaani imebidi nije nicomment kabla sijamaliza kusoma, mimi ni muhanga wa huo upumbavu wao, tena hiyo gari ya moro to mtwara.
Hilo bus lina makondakta washenzi wa tabia, kuna siku niliwapigia simu kuwajulisha nitatoka mtwara to lindi, na nilikuwa na kigodoro kama hiko cha mwanafunzi, asee walikomaa niwalipe 15000 elfu sehemu ya km 100 tu.
Iliniuma sitasahau, ni washenzi hao viumbe wa hiyo kampuni sijapata kuona.
Yaani wateja hawana mtetezi kiuhàlisiaHalafu hyo nauli ya Lindi to Moro mbona kubwa Sana tsh 40000/=
angalia hapa
Lindi dar tsh 20k-24k
Dar ...Moro 7500-8000
Jumlisha 24000+8000= 32000/=
Nauli halis ilibid iwe 35000/=
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
LATRA wenyewe hawana tofauti na Makondakta wa hayo Mabasi, wote akili moja tu..LATRA wapo akawashitaki washenzi hawa
kuna basi moja nilishawashitaki LATRA kwa upuuzi.