Xavier Africa
Senior Member
- Oct 4, 2017
- 180
- 386
Mara nyingi mizigo ya abiria hasa MIZITO hufungiwa katika CHAMBERS za kuhifadhia mizigo PEMBEZONI MWA GARI kwa nje kulia na kushoto .... katika issue ya moto inakuaje rahisi kuokoa kila kitu na pasitokee madhara yoyote kwa mali za abiria?Habari wanajamvi nikiwa njiani kwenda tunduma usiku huu nimekuta bus la hood likishika moto na kuteketea lote maeneo ya mlima kitonga hakuna majeruhi wala hasara kwa abilia iliyotokea nimeshindwa kupiga picha
Habari wanajamvi nikiwa njiani kwenda tunduma usiku huu nimekuta bus la hood likishika moto na kuteketea lote maeneo ya mlima kitonga hakuna majeruhi wala hasara kwa abilia iliyotokea nimeshindwa kupiga picha
Kwa taarifa ilivyo inaweza ikawa ni kweli ama kwa kuwa ni usiku labda kakurupuka kutoka usingizini na alikuwa yupo ndotoni.Samahani mkuu ni mawazo tu.Aysee yani limeungua lote na bado huoni kuwa hayo ni madhara tosha?? Au madhara ni kifo tu?? Mbona kusema limeungua lote hio ni hasara tosha?
Pia nawaza imekuwaje au abiria walishuka wote wakaenda nunua kiberiti wakakaa pembeni na kushusha mizigo yao then kuwasha moto na kucheki movie?
Rud ukapige picha au google ata ya uongo itumike kwa niaba basi.
Mara nyingi mizigo ya abiria hasa MIZITO hufungiwa katika CHAMBERS za kuhifadhia mizigo PEMBEZONI MWA GARI kwa nje kulia na kushoto .... katika issue ya moto inakuaje rahisi kuokoa kila kitu na pasitokee madhara yoyote kwa mali za abiria?
Moto ulianzia mbele taratibu wakafanikiwa kuokoa kutokana na maelezo ya nilio waulizaMara nyingi mizigo ya abiria hasa MIZITO hufungiwa katika CHAMBERS za kuhifadhia mizigo PEMBEZONI MWA GARI kwa nje kulia na kushoto .... katika issue ya moto inakuaje rahisi kuokoa kila kitu na pasitokee madhara yoyote kwa mali za abiria?
Ujumbe huu umeandikwa dka 45 zilizoisha sasa hili basi limeungua sangapi huwa wanaruhusiwa kutoka mbeya saa 10 usiku au, mwingine hapo juu kasema eti alisikia lilikuwa likitokea arusha swali kwake lilifika muda gani mlima kitonga, tunaomba ufafanuzi tafadhali hamjaeleweka hapa.
Kwa taarifa ilivyo inaweza ikawa ni kweli ama kwa kuwa ni usiku labda kakurupuka kutoka usingizini na alikuwa yupo ndotoni.Samahani mkuu ni mawazo tu.
Ajari imetokea usiku mimi nimepita saa kumi kasoro nikitokea darSa hiv ni alfajiri sio usiku
hapo sawa umeeleweka OVAAjari imetokea usiku mimi nimepita saa kumi kasoro nikitokea dar
Yaan kwa hii mibasi ilivyo hovyo siku hizi yawezekana kabisa ilitokea arusha na usiku huu likawa kitonga...Ujumbe huu umeandikwa dka 45 zilizoisha sasa hili basi limeungua sangapi huwa wanaruhusiwa kutoka mbeya saa 10 usiku au, mwingine hapo juu kasema eti alisikia lilikuwa likitokea arusha swali kwake lilifika muda gani mlima kitonga, tunaomba ufafanuzi tafadhali hamjaeleweka hapa.
HarrierUlikuwa kwa private car?
Kweli ulipaswa urudi upige picha.Harrier
Mara nyingi mizigo ya abiria hasa MIZITO hufungiwa katika CHAMBERS za kuhifadhia mizigo PEMBEZONI MWA GARI kwa nje kulia na kushoto .... katika issue ya moto inakuaje rahisi kuokoa kila kitu na pasitokee madhara yoyote kwa mali za abiria?