Burundi yataka Baraza la Haki za Binadamu la UN kufunga ofisi na kuondoka nchini humo

Libya walikuwa na mafuta ndugu yangu. But Burundi kuna vumbi tu pale watafuata nini pale
Pierre Nkurunzinza nahisi atakua ana matatizo ya akili, hivi ameshindwa kuvuta kumbukumbu zake juu ya kichomtokea MUAMMAR GADAFFI wa Libya???

Gadaffi alikua na pesa nyingi, uchumi mzuri, mahusiano mazuri na nchi zote Africa nzima, jeshi kubwa na kali la kisasa (kuliko yeye Nkurunzinza). Ila waliishia kumtoa roho yake mchana kweupe.

Ni heri aanze kutafuta CHAKA mapema la kujificha. Dunia hii siku hizi hakuna mbabe, ukijifanya mbabe unatekenywa na VIKWAZO VITAKATIFU tu, utavua mpaka chupi kumba msamaha.

Russia & North Korea tu ndio mbegu za vidume zilizobakia tu. Japo nao walishakiri kua vikwazo walivyowekewa viliwayumbisha.
 
Wewe acha msaliti wa nchi wewe! Hata sisi wakileta mambo ya kutetea mabasha na mashoga tutawatimua pia!
Unachekesha Sana. Ni juzi tu mmepigwa mkwara, na mkakimbilia kumuita mwakilishi wao kanda ya Africa pale Magogoni na kamera nyingi, huku mkiwadanganya wananchi . Kesho yake walikana.

Hatuna jeuri hiyo
 
Pierre Nkurunzinza nahisi atakua ana matatizo ya akili, hivi ameshindwa kuvuta kumbukumbu zake juu ya kichomtokea MUAMMAR GADAFFI wa Libya???

Gadaffi alikua na pesa nyingi, uchumi mzuri, mahusiano mazuri na nchi zote Africa nzima, jeshi kubwa na kali la kisasa (kuliko yeye Nkurunzinza). Ila waliishia kumtoa roho yake mchana kweupe.

Ni heri aanze kutafuta CHAKA mapema la kujificha. Dunia hii siku hizi hakuna mbabe, ukijifanya mbabe unatekenywa na VIKWAZO VITAKATIFU tu, utavua mpaka chupi kumba msamaha.

Russia & North Korea tu ndio mbegu za vidume zilizobakia tu. Japo nao walishakiri kua vikwazo walivyowekewa viliwayumbisha.
Marais wa kiafrica wengi hutegemea uchawi ndyo unawaaminisha sana.
 
Pierre Nkurunzinza nahisi atakua ana matatizo ya akili, hivi ameshindwa kuvuta kumbukumbu zake juu ya kichomtokea MUAMMAR GADAFFI wa Libya???

Gadaffi alikua na pesa nyingi, uchumi mzuri, mahusiano mazuri na nchi zote Africa nzima, jeshi kubwa na kali la kisasa (kuliko yeye Nkurunzinza). Ila waliishia kumtoa roho yake mchana kweupe.

Ni heri aanze kutafuta CHAKA mapema la kujificha. Dunia hii siku hizi hakuna mbabe, ukijifanya mbabe unatekenywa na VIKWAZO VITAKATIFU tu, utavua mpaka chupi kumba msamaha.

Russia & North Korea tu ndio mbegu za vidume zilizobakia tu. Japo nao walishakiri kua vikwazo walivyowekewa viliwayumbisha.
Burundi Kuna njaa mkuu....nilisaini kukaa miezi mitatu nilikaa mwezi mmoja tu yakanishinda....yaani Askari walinzi wa makampuni pesa anayolipwa Ni sawasawa na tsh 1000 kwa mwaka 2017 niliyokuwepo kule, yaani kule mtu anapigana na maisha ili apate mlo wake wa siku tu sio ajenge...
 
Umeona balaa hilo mkuu, halafu eti wamewapa UN sekta ya haki za binaadam miezi miwili kufunga ofisi zao.

Yani shirika linalokusaidia unalifukuza wakati wewe bado wananchi wako wana njaa.
 
john-pombe-magufuli-gado.jpg

Burundi now - Tanzania next?

'John Magufuli ran for the presidency in 2015. He has swept out corrupt officials, but without following due process, and has aggressively sought economic development, but scared off foreign investors.'

'Bullozers can smash through powerful barriers, but they tend to leave a mess in their wake. Magufuli, and his particular brand of Tanzanian populism, is no different.'

Dec 7, 2018 - Tanzania suffers peril of populism
 
All dictators once they clinch on power they don't want move out. They are ready to kill many people in any form just to make them stay in power. Nkurunzinza is killing many people in Burundi, just for power greedy. It's sad that in East Africa all presidents are dictators minus one.But let it be clear to them, their days are numbered , people will eventually say ; enough is enough, come what may.
 
wajinga sana hawa, halafu wakipigwa mkwala wepesi sana kulialia

Burundi ni nchi huru, kama jamii ya kimataifa haiheshimu sheria za Burundi, haina budi kutimuliwa.
Hujitambui ndugu, nchi huru raisi kuuwa raia wake kama panzi? Yaani kama hujui kinachoendele Burundi kaa kimya uombe ueleweshwe. Jumuiya ya kimataifa haiwezi kukaa kimya na kumuucha huyo Butcherer Nkurunzinza aendelee kuuwa warundi wasil na hatia kwa tamaa zake za madaraka. He 's supposed to be removed by all means.
 
mimi naweza kua sijitambui ndio,

wewe unaweza kuthibitisha ulichokisema mkuu?
 
Nadhibitisha hujitambui kwa kuwa umeona ni sahihi Burundi kuwafukuza maofisa wa UN kwa kuwa tu wamesema ukweli kwamba utawala wa muuwaji Nkurunzinza unauwa warundi.Sasa ungekuwa unatambua ushenzi wa Nkurunzinza usingemtetea. Au pengine unajua lakini kwa kuwa utawala wake unafanana na " mwenye kichaa kichaa " ambaye naamini wewe ni mfuasi wake , ndiyo maana unatetea unyama huo wa Nkurunzinza.
 
Duh kutokujitambua kwangu niachie mimi,

Nataka uthibitishe mauaji yanayofanywa na nkurunzinza hapo burundi, sijakuomba uthibitishe kutojitambua kwangu
 
Kama unahitaji nikudhibitishie mauwaji yanayofanywa na Muuwaji Nkurunzinza , ingia kwenye goggle , andika tu "mauwaji ya raia Burundi" utapata ukweli wote.
 
Undumila kuwili wa UN upo wazi tu kwa majirani wengine we Burundi kuchinja ruksa !
 
Back
Top Bottom