Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Ndo maana na mimi nimeuliza mgerumani hakujenga kule?Kwani ile ya magogoni nani kaijenga si wakoloni wa kijerumani. Au Tanganyika imewahi kujenga ikulu yake wenyewe?
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Nchi ya Burundi ilikuwa chini ya MbelgijiNdo maana na mimi nimeuliza mgerumani hakujenga kule?
Chamwino na kila Makao makuu ya Mikoa zipo ikulu NdogoKwani ile ya magogoni nani kaijenga si wakoloni wa kijerumani. Au Tanganyika imewahi kujenga ikulu yake wenyewe?
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Mbeligiji na Mfaransa walikuwa wanajenga kwa nadra na walikuwa wakifukuzwa wanaacha wameharibu/bomoa kama ni vitabu wanachoma.Nchi ya Burundi ilikuwa chini ya Mbelgiji
Kumbuka kabla ya vita ya kwanza Burundi, Rwanda na Tanganyika plus Namibia na nchi nyingine ziligawiwa kwa ujerumani according to Berlin Conference agreement tuliitwa German ost Africa. Walipozichapa wenyewe na mjerumani kushindwa, wale walioshinda waligawana makoloni. Tanganyika ikapewa UK under protectorate, Wabergigi wakapewa Burundi na Rwanda wakapewa Wafaransa ingawa kwa Rwanda sina uhakika.Nchi ya Burundi ilikuwa chini ya Mbelgiji
Burundi koloni la ujerumani au Portugal?Ndo maana na mimi nimeuliza mgerumani hakujenga kule?
Mjerumani alitawala Tanganyika jina alilotupa, Burundi na Rwanda na nchi nyingine kama Namibia ila hizi nchi tatu zilikuwa zimeungana. Watu walikuwa wakitoka Burundi na Rwanda kuja Tanganyika kama nchi moja na hata kabla ya wajerumani wakati wa watemi, kulikuwa na migration ya watu. Ureno walitawala Msumbiji na nchi nyingine za West Coast. Baada ya vita ya pili Namibia ilichukuliwa na wareno.Burundi koloni la ujerumani au Portugal?
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Kwani ile ya magogoni nani kaijenga si wakoloni wa kijerumani. Au Tanganyika imewahi kujenga ikulu yake wenyewe?
Ndukiiiii [emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ
Chamwino ikulu ndogo au kubwa? Unajua maana ya ikulu?.Acha wenge Mkuu. Kwa sasa tuna Ikulu tuliojenga kwa mikono yetu wenyewe.
Jaribu kutembele Chamwino...
ikulu maana yake nini? samahani mkuuChamwino ikulu ndogo au kubwa? Unajua maana ya ikulu?.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Ikulu ni sehemu ya makaazi ya rais wa nchi, sasa makaazi makuu yapo wapi?. Chamwino au magogoni?ikulu maana yake nini? samahani mkuu
Addis unakwenda mbali, pale Dodoma makao makuu ya kijani wameweka camera mpaka chooni.Wachina washafunga camera na vin'gamuzi humo,Warundi wawaulize AU walichofanyiwa makao makuu huko Addis
Ilijengwa na sewa haji sio Wajerumani mkuuKwani ile ya magogoni nani kaijenga si wakoloni wa kijerumani. Au Tanganyika imewahi kujenga ikulu yake wenyewe?
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]