LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,157
- 1,681
Wanajamvi poleni na mapambano dhidi ya corona.
Nakwenda kwenye mada fupi ambayo naileta kama swali tujadili, hivi nchi ya Burundi inajiamini nini kutochukua tahadhari au kama kudharau gonjwa hili hatari la Corona?
Nasema hivyo kwasababu ligi mbalimbali zinaendelea mashabiki wanaingia kawaida pia juzi Waziri wa Afya nchini hapo aliwaambia raia wasiwe na wasiwawasi na gonjwa hili hata mgombea urais kupitia chama tawala aliwaambia wananchi kuwa wao ni taifa teule la MUNGU je hiyo ndyo sababu ya kujiamini hivyo?
Karibuni tujadili maswali hayo mawili