Wanyarwanda mna shida sana,mkikaribishwa sehemu mnajisahau kwamba nyie daima mtakuwa wageni tu,ona sasa,kujua kiswahili ushajifanya Mtanzania....ngoja ije ile oparasheni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbuka aliniomba radhi yaishe, nani asiyejui hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanyarwanda mna shida sana,mkikaribishwa sehemu mnajisahau kwamba nyie daima mtakuwa wageni tu,ona sasa,kujua kiswahili ushajifanya Mtanzania....ngoja ije ile oparasheni
kukuondoa ni rahisi...tutaondoa egemeo uliloegemea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi mwenyewe ni sehemu ya oparesheni hiyo mkuu. Niko jikoni kwako sijui utafanyaje kuniondoa, pole sana
Egemeo langu lina mizizi mirefu na matawi yenye nguvu na kivuli tele...ukikua utaelewa nisemayo, lakini kwa age na ufahamu wako ukijiongeza sana sana utatukana bure bora ulalekukuondoa ni rahisi...tutaondoa egemeo uliloegemea
Kagame hatishiki kirahisi rahisi hivo, waulize South Africa baada ya mauaji ya Patrick Karegeya S.A iliwafukuza wanadiplomasia 6 wa Rwanda, hapo hapo na Rwanda bila kuchelewa ikawatimua wanadiplomasia wa S.A. kumbuka baada ya mauaji Seth Sendashonga kule Nairobi Kenya ilifanyia nini ubalozi wa Rwanda na reaction ya Kagame ilikua. Uliza alivyowavimbia France hadi wakamwambia yaishe. Uliza alivyokua anamtunishia misuli Kikwete hadi mzee wa watu akawa mpole. After all kumbuka aliyoyafanya Congo. Kwa Burundi, Rwanda ni habari nyingine.
hahaaaaSo rwanda ndio wakorofi.....na siku zote mkorofi ndio huwa anachezea dozi
Ulishwawahi kutembelea au kuona keshi la Rwanda wakiwa kazini?
mimi uzuli nimeshawahi kuishi na wanyarwanda kiukweli wamegawanyika katika sehemu kuu tatu kuna wahutu, watusi na watwaa,....Wanyarwanda mna shida sana,mkikaribishwa sehemu mnajisahau kwamba nyie daima mtakuwa wageni tu,ona sasa,kujua kiswahili ushajifanya Mtanzania....ngoja ije ile oparasheni
Ulipo taja kenya nikaguna ulipo taja s a nika koroma ulipo taja france sasa nika piga kelele UNATAKA MWENZIO AKATWE KIMEO?Kagame hatishiki kirahisi rahisi hivo, waulize South Africa baada ya mauaji ya Patrick Karegeya S.A iliwafukuza wanadiplomasia 6 wa Rwanda, hapo hapo na Rwanda bila kuchelewa ikawatimua wanadiplomasia wa S.A. kumbuka baada ya mauaji Seth Sendashonga kule Nairobi Kenya ilifanyia nini ubalozi wa Rwanda na reaction ya Kagame ilikua. Uliza alivyowavimbia France hadi wakamwambia yaishe. Uliza alivyokua anamtunishia misuli Kikwete hadi mzee wa watu akawa mpole. After all kumbuka aliyoyafanya Congo. Kwa Burundi, Rwanda ni habari nyingine.
Note: am not a Rwandese men.Mambo mengine mnajisemea tu! Hivi Taifa kama Ufaransa likihamua kufanya kweli Rwanda ina uwezo gani wa kushindana nalo?
Wafaransa wakisema enough is enough PK na wapambe wake si watashikwa kama kuku wa kienyeji tu, yakawatokea kama ya Gabgo na mkewe - maoni yako nafikiri yako yako geared for home consumption only - nchi zote ulizo zitaja zilihamua kuwa ignore sio kwamba hawana uwezo wa ku-deal nanyi mkashindwa pa kutokea.
On which grounds can be my president?na JK alimfanya nini vile,au umesahau kwamba siku hizi hakuna kitu kinaitwa M23?,...umetumwa?
acha kumfananish JK na huyo Rais wako
adhabu pekee waliyoifanya Rwanda dhidi ya ufaransa ni kuamua kubadili lugha ya kifaransa na kujiunga na kiingereza na kujiunga na commonwealth...ujue Rwanda limekuwa koloni la ufaransa miaka mingi sana na hadi sasa ufaransa ilitaka waendelee kuwa chini yao, sasa ufaransa ilipoona wanawakimbia ikabidi wajibembeleze ili wasikimbie. lakini hata hivyo ufaransa wangetaka, wangeweza tu kuwapa silaha waasi wa FDLR ambao walikuwa wakiwasapoti tangu kabla kagame hajatwaa kigali, silaha nzuri za kumpindua kagame na kuweka utawala wao, Kabila wasingeweza kumtumia kwasababu yeye ni Mnyarwanda sio mcongo. vilevile, wangeweza kutumia hata tz kutoa silaha na kupitishia waasi wapitie hapa kwetu kumpindua, na ujue mkwere alienda ufaransa kipindi kile na kagame aliogopa sana akijua mwisho wake umefika, ndo maana alifyata mkia.Mambo mengine mnajisemea tu! Hivi Taifa kama Ufaransa likihamua kufanya kweli Rwanda ina uwezo gani wa kushindana nalo?
Wafaransa wakisema enough is enough PK na wapambe wake si watashikwa kama kuku wa kienyeji tu, yakawatokea kama ya Gabgo na mkewe - maoni yako nafikiri yako yako geared for home consumption only - nchi zote ulizo zitaja zilihamua kuwa ignore sio kwamba hawana uwezo wa ku-deal nanyi mkashindwa pa kutokea.
he heee..pole sana,unajua kabisa kuna mstari huwezi vuka,ukiuvuka huo wajua madhara yako....kifupi huna madharaEgemeo langu lina mizizi mirefu na matawi yenye nguvu na kivuli tele...ukikua utaelewa nisemayo, lakini kwa age na ufahamu wako ukijiongeza sana sana utatukana bure bora ulale
Note: am not a Rwandese men.
kikwete alitumia busara tuu kila mtu angeonesha jeuri yake sasa hivi mikoa ya kule pembeni ingekuwa battle groundKagame hatishiki kirahisi rahisi hivo, waulize South Africa baada ya mauaji ya Patrick Karegeya S.A iliwafukuza wanadiplomasia 6 wa Rwanda, hapo hapo na Rwanda bila kuchelewa ikawatimua wanadiplomasia wa S.A. kumbuka baada ya mauaji Seth Sendashonga kule Nairobi Kenya ilifanyia nini ubalozi wa Rwanda na reaction ya Kagame ilikua. Uliza alivyowavimbia France hadi wakamwambia yaishe. Uliza alivyokua anamtunishia misuli Kikwete hadi mzee wa watu akawa mpole. After all kumbuka aliyoyafanya Congo. Kwa Burundi, Rwanda ni habari nyingine.
kama kale kajamaa kanakotangaza habari za michezo channel 10Kawaida ya watu wembamba kama bwana mdogo kagame kujifanya wana ubavu kumbe hamna lolote mwisho huonekana ni wapumbavu ni tatizo lao kisaikolojia
Ahahaha, I know it is not for real.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unatokwa povu utafikiri unaongea na Kagame kweli wtz bhana!
Relax kijana
Apuuzwe tu usimtaftie kiki hapa mkuuKagame hatishiki kirahisi rahisi hivo, waulize South Africa baada ya mauaji ya Patrick Karegeya S.A iliwafukuza wanadiplomasia 6 wa Rwanda, hapo hapo na Rwanda bila kuchelewa ikawatimua wanadiplomasia wa S.A. kumbuka baada ya mauaji Seth Sendashonga kule Nairobi Kenya ilifanyia nini ubalozi wa Rwanda na reaction ya Kagame ilikua. Uliza alivyowavimbia France hadi wakamwambia yaishe. Uliza alivyokua anamtunishia misuli Kikwete hadi mzee wa watu akawa mpole. After all kumbuka aliyoyafanya Congo. Kwa Burundi, Rwanda ni habari nyingine.
Kweli mkuu af sikipendi mimi kile kijamaa basi tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kikwete akawa mpole, karahisi hivyo, subutu angeandika historia kama ya AminKagame hatishiki kirahisi rahisi hivo, waulize South Africa baada ya mauaji ya Patrick Karegeya S.A iliwafukuza wanadiplomasia 6 wa Rwanda, hapo hapo na Rwanda bila kuchelewa ikawatimua wanadiplomasia wa S.A. kumbuka baada ya mauaji Seth Sendashonga kule Nairobi Kenya ilifanyia nini ubalozi wa Rwanda na reaction ya Kagame ilikua. Uliza alivyowavimbia France hadi wakamwambia yaishe. Uliza alivyokua anamtunishia misuli Kikwete hadi mzee wa watu akawa mpole. After all kumbuka aliyoyafanya Congo. Kwa Burundi, Rwanda ni habari nyingine.
kikwete alitumia busara tuu kila mtu angeonesha jeuri yake sasa hivi mikoa ya kule pembeni ingekuwa battle ground