Takwimu karibia zote kwenye mtandao zinakubaliana kuwa Burundi ndio nchi masikini duniani. Pia ni mwanachama wa EAC kwa hiyo ni aibu kwetu wote na pia naamini ukishirikiana na masikini unakuwa masikini.Tuwasaidie hawa jamaa wetu kimawazo jameni. Maoni yangu binafsi ni kwamba hii nchi ifutwe na igawanywe kati ya Rwanda na Uganda au Uganda na Tanzania. La sivyo iunganishwe na Rwanda. mnasemaje wadau wa JF?

[/COLOR][/FONT]
duhhhhh ..hapo kwenye red mayazo yako yanatisha hata rais wa nchi hyo akikusikia lazima akutafute ....alaf....utaelewka tu
ebu tueleze kwanza, wewe niwa nchi gani?: burundi, rwanda, uganda, DrC au tz?!, nadhani in real economic terms TZ ni maskini kuliko burundi, au wewe unasemaje?!

ukisema suala la kufutwa ipo siku hata BONGO itafutwa kwani nayo huwa inachezea hizo hizo namba za viatu
ni nchi masikini sababu ya migogoro ya ndani halafu ni LOCKED LAND
Hapo kwenye bold,Hebu acha utani mkuu.
Somalia na Congo za ngapi?