Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Hadithi za Juma na Uledi hizo,labda watajenga mwaka 3000
Mwaka 3000 mbona ni karibu sana .. Ongeza 0 moja.
Wamewaalika Rwanda, Kenya na Uganda kwenye huo mkutano wao? Je wana mpango gani wa kuwashirikisha kwenye huo mkakati wa kuimarisha reli kwenda DRC kupitia Burundi au ni yale mambo ya mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Kama tulikerwa na uwepo wa "coalition of the willing" basi hatuna budi kuepuka mahusiano na nchi jirani ya Burundi yanayofanana na yale ya wana coalition.Waziri SIX yupo ziarani Burundi kwa mazungumzo na Viongozi wa nchi hiyo yenye nmadhumuni ya kuboresha usafirishaji wa barabara kati ya nchi zetu mbili, vile vile kuna mpango wa kujenge reli ya kupitia Burundi kwenda DRC itikotokea Tanzania. Binafsi nampongeza Waziri Sita na Serikali yetu kwa kubuni mradi ambao utanufaisha nchi zote husika, ni matumaini yangu kwamba ujenzi wa RELI unaweza kutekelezwa fasta kuliko wa wenzetu.
Mkuu kumbuka Tanzania na Burundi ndio nchi zinazo tengwa na wenzetu, sasa kuna tatizo gani kama Burundi, Tanzania na Congo DRC wakishirikiana kujenga Reli ya kusafirisha mizigo na abiria kutoka/kwenda DRC mpaka kwenye Bandari ya Bwagamoyo DSM. Serikali za nchi husika zikicheza karata zao vizuri wanaweza kuwapata wabia watakao kubali kushare costs za ujenzi na baadae kuendesha reli kwa ufanisi wakiwa na imani kwamba R.O.I haitachukua muda mrefu, kutokana na utajiri mkubwa wa maliasili za Congo na Tanzania.Wamewaalika Rwanda, Kenya na Uganda kwenye huo mkutano wao? Je wana mpango gani wa kuwashirikisha kwenye huo mkakati wa kuimarisha reli kwenda DRC kupitia Burundi au ni yale mambo ya mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Kama tulikerwa na uwepo wa "coalition of the willing" basi hatuna budi kuepuka mahusiano na nchi jirani ya Burundi yanayofanana na yale ya wana coalition.
Hapana mkuu, hawaogopi kitu ni kutaka kuzidiana KETE tu, and 'am telling you at the end of the day Tanzania, Burundi na Congo DRC watahibuka kidedea katika ushundani huu. Na kumbuka Kenya ili-panick ilipo pata habari kwamba Wachina watajenga bandari kubwa pale Bwagamoyo ndio wakaja na mipango yao fasta fasta ili waweze kuhipiku Tanzania, ni mambo ya ushindani wa Bandari si kitu kingine mkuu.wanogopa jamaa watahama bandari
Kama na sisi tumeamua kucheza mchezo kama unaochezwa na Rwanda, Kenya nd Uganda basi tuache kulialia tuunde "coalition of the willing" nyingine tusonge mbele. Lakini hii ya kulialia wakati na sisi tunafanya yaleyale ni unafiki tu ambao hautatufikisha popote.Mkuu kumbuka Tanzania na Burundi ndio nchi zinazo tengwa na wenzetu, sasa kuna tatizo gani kama Burundi, Tanzania na Congo DRC wakishirikiana kujenga Reli ya kusafirisha mizigo na abiria kutoka/kwenda DRC mpaka kwenye Bandari ya Bwagamoyo DSM. Serikali za nchi husika zikicheza karata zao vizuri wanaweza kuwapata wabia watakao kubali kushare costs za ujenzi na baadae kuendesha reli kwa ufanisi wakiwa na imani kwamba R.O.I haitachukua muda mrefu, kutokana na utajiri mkubwa wa maliasili za Congo na Tanzania.
Kama na sisi tumeamua kucheza mchezo kama unaochezwa na Rwanda, Kenya nd Uganda basi tuache kulialia tuunde "coalition of the willing" nyingine tusonge mbele. Lakini hii ya kulialia wakati na sisi tunafanya yaleyale ni unafiki tu ambao hautatufikisha popote.
Waziri SIX yupo ziarani Burundi kwa mazungumzo na Viongozi wa nchi hiyo yenye nmadhumuni ya kuboresha usafirishaji wa barabara kati ya nchi zetu mbili, vile vile kuna mpango wa kujenge reli ya kupitia Burundi kwenda DRC itikotokea Tanzania. Binafsi nampongeza Waziri Sita na Serikali yetu kwa kubuni mradi ambao utanufaisha nchi zote husika, ni matumaini yangu kwamba ujenzi wa RELI unaweza kutekelezwa fasta kuliko wa wenzetu.
Waziri SIX yupo
ziarani Burundi kwa mazungumzo na Viongozi wa nchi hiyo yenye nmadhumuni
ya kuboresha usafirishaji wa barabara kati ya nchi zetu mbili, vile
vile kuna mpango wa kujenge reli ya kupitia Burundi kwenda DRC
itikotokea Tanzania. Binafsi nampongeza Waziri Sita na Serikali yetu kwa
kubuni mradi ambao utanufaisha nchi zote husika, ni matumaini yangu
kwamba ujenzi wa RELI unaweza kutekelezwa fasta kuliko wa
wenzetu.