VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Zimebaki siku chache sana kuelekea uchaguzi mkuu wa wabunge na rais nchini Burundi, ambapo ni tarehe 5 juni 2025.
Mpaka sasa, kila kona ya nchi, kutokana na hali ya usalama, na hofu kutokana na vitendo vya unyanyasaji wa wafuasi wa vyama pinzani, huenda uchaguzi huu usiwe wa huru na amani.
Mara kadhaa, vyama pinzani vilizuwiliwa kufanya mikutano ya hadhara, na waliohusika wakiwa ni Imbonerakure, ambao ni vijana waliopewa mafunzo na chama tawala cha CNDD-FDD. Vijana hawa hufika kwenye miji ya wafuasi wa vyama pinzani na kufanya vurugu, huku wengine wakipotezwa na wengine kupelekwa jera.
Mpaka sasa, zoezi la uhakiki wa taarifa za kupiga kula na uandikishaji, lilishatiwa dosari; badhi ya kadi za kupiga kula zilishaharibiwa, nyingine kupotea. Ikiwa ni wiki moja tu kabla ya uchaguzi kuanza, watu wengi wanalalamika kutopokea kadi zao, na kuwaondolea uweekano wa kushiriki uchaguzi huo.