MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 560
- 320
Kwa taarifa tunazozipata kutoka nchini burundi kwa sasa kwamba,maandamano yanaendelea.milupuko ya guruneti imetokea mjini bujumbura na hivyo kuonyesha dalili za warundi kurudi vitani.hii ni hatari sana kwa East Africa yetu.
Ninachoomba au nachomsihi mheshimiwa raisi wa burundi akubali kutogombea ili kuzuia machafuko tena nchini burundi.vita ina athari kubwa sana hata kwetu sisi huku kahama mkoani shinyanga itatuathiri.
Why? kwasababu endapo kama vita itatokea hata uharifu utaongezeka.