Burundi hakuna amani tena!

Burundi hakuna amani tena!

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

Pichani waandamanaji wakimbeba juu juu polisi wa kike wanayemtuhumu kuwa alimpiga risasi mmoja wao katika eneo la Buterere nchini Burundi...[Picha: Reuters Africa ]

CEzmRl8VAAAddm2.jpg
 
Nimeona ITV waraia wanawatoa nduki sana askari
 
...loh! huyu Rais Pierre Nkurunziza amenogewa utamu wa madaraka, nakutaka kuwania urais kwa muhula wa tatu! !
 
...loh! huyu Rais Pierre Nkurunziza amenogewa utamu wa madaraka, nakutaka kuwania urais kwa muhula wa tatu! !

Mbaya ni kwamba, anachezea amani ambayo ndio kwanza ina miaka kiduchu tu. Huyu anataka kuirudisha Burundi kwenye matatizo, kitu gani kinamfanya ang'ng'anie madaraka?
 
Polisi wenyewe wa kike huyu hapa huyu. Sema huyu jamaa anatupakazia kabeba mawe anampiga polisi huku kavaa t-shirt imeandikwa Tanzania......


CE03JhtWoAE9XEe.jpg
 
Polisi wenyewe wa kike huyu hapa huyu. Sema huyu jamaa anatupakazia kabeba mawe anampiga polisi huku kavaa t-shirt imeandikwa Tanzania......


CE03JhtWoAE9XEe.jpg
Hyo di tshirt tu ya taifa stars.!jamaa analikubali chama bas!
 
Back
Top Bottom