Habari za hivi punde zinanesha kuwa Jenerali G. Niyombare,kiongozi wa Jaribio la Mapinduzi nchini Burundi,amekamatwa. Taarifa zaidi zitafuata.
Mzee Tupatupa (kwasasa Arusha)
The failed coup leader Maj Gen Godefroid Niyombare is still on the run, Burundi president's spokesperson Gervais Abayeho has told the BBC Africa Live page.Taarifa hizi ziwafikie CHADEMA na washirika wao wa UKAWA.
.
kushitakiwa kijeshi kwa uasi.
waziri wa ulinzi alimuinginza kingimihutu na akili za kushikiwa kama nzi utaijua tu hapa watutsi wameingiaje?
Taarifa hizi ziwafikie CHADEMA na washirika wao wa UKAWA.
waziri wa ulinzi alimuinginza kingi
Huu utoto sana jamani issue ya nchi nyingine watu mnaakomaa kupeana makundi kupitia matukio yasiyowahusu, haya sasa nani ana ushahidi kua Ukawa wanahusika na hii issue? Utoto tu
alisahau plan B nyuma! lakini pia 'kumpoteza' na kwa rais ambaye ameligawa taifa italeta shida zaidiIshi, ina maana alikuwa hana plan "B" mpaka anakamatwa kijinga hivyo? Adhabu ya mtu aliyefanya uhaini inaeleweka...!
Taarifa hizi ziwafikie CHADEMA na washirika wao wa UKAWA.
Taarifa hizi ziwafikie CHADEMA na washirika wao wa UKAWA.
Majenerali wawili walioasisi mapinduzi yaliyoshindwa Burundi wamekamatwa.
Hizi ni habari mbaya kabisa na ni habari njema kabisa kwetu.
Pole Godefroid na hongera Pierre ila jamb.ajamb.a umepata.