Burudani ndani ya roho, JK akijiliwaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Burudani ndani ya roho, JK akijiliwaza

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kipipili, Sep 23, 2010.

 1. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,495
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  hawa atakuwa amewaahidi ngoma na filimbi
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Kama Jogoo vile anavizia tetea hahahahahahahahahah
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,701
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Pole sana mheshimiwa umechoka kweli!!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,556
  Likes Received: 11,461
  Trophy Points: 280
  du!! KAKA umenichekesha kweli. Sasa NGOMA NA FILIMBI watazifanyia nini? Hizo hata mm naweza kuwanunulia. Halafu kwa ulimbukeni wao lazima watampa kura. Masikiniii.hao hapo walipo usishangae hawajui kiti kinachoendelea serikalini wao wanajua kuwa maisha magumu ni haki yao na kupewa hizo t.shirt na kanga wanajiona kwanza wanabahati kweli kweli lol popooooo. !!!
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kweli jamaa kachoka ,2005 alipata urais kwa ubwete ,mwaka huu hata kwa mbinde hapati.
  kuna mtu alisema hapa aande speech ya kukabidhi madaraka .
   
 6. D

  Dina JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,757
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Ila uheshimiwa nao taabu, hata ukitaka kulisakata rhumba, wapambe wanazungukia!
   
 7. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,342
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wananchi wenzangu nawaonea huruma sana.

  Wangejua... hyuo wanaecheza naye ni nyoka.... ipo siku yao tu.
   
 8. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Hao walikuwa wamekaa tayari kukabiliana na Aiseeeeee......kinachofuata si unakijua bwana.
   
 9. D

  Dina JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,757
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mmh, ila kweli....
   
 10. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,708
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
   
 11. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kama kuna mtandao unaongoza kukmkejeli JK basi JF inaongoza hakuna atakacho kifanya huyo bwana JF ni jema duuh!
   
 12. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Du! haya sijui mambo ya Alaji alaji alaji alajii...au ya alamba tena hkaaam haaaaaam!! cnt gt his steps
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mtachonga sana tu hapa jf
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,629
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  Hayo manjemba yanasubiri kumdaka....AISEE:becky:
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,629
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  Kama kipi kwa mfano?
   
 16. made

  made JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 732
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 60
  Lifanywalo na Slaa safi ila Jk baya!!haya hii ndo JF
   
 17. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #17
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  na sare, Tshirt na vitenge
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,629
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  Ndio democracy....hulazimishwi
   
 19. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 0
  Hayo maneno si ya JF, ni ya memba kama wewe! ukiona majority inachukia kila unachotenda utafikiria nini....................? UMEFULIA! na watu wakikuchoka ni balaa! Umestukia Dr Slaa sasa hv yuko juu? AMKA, UNAIBIWA NA MAFISADI!
   
Loading...