Buriani Willson Kabwe

Kaka soma vizur hakuna aliyebariki wizi humu, hata jambazi akipigwa risasi na kujeruhiwa kisha akakamatwa huwa wanasubiri apone majeraha au afya iimarike ndipo wataanza prosecution mahakamani. Unawezaje kusikiliza kesi wakati mtuhumiwa yu mahututi kitandani? Kuwa mwanaume si umiliki wa gorori mbili kati kati ya mapaja yako. It's a brain jombaa
 
Uelewa wangu umeanzia Makonda kusema hawezi kufanya Kazi na Kabwe kwa sababu ya mambo yake ya hovyo kwenye mkataba alisaini. Swali je wakati Makonda anayasema haya Kabwe alikuwa ofisini? (Jibu yupo kitandani hospitalini nchini India). what was a reason behind? (Ni kwamba madudu ndani ya mkataba ule yaende na Kabwe) tunaoyajua mambo kipindi cha JK mikataba mingi ilisainiwa kutokana na order kutoka mamlaka za juu, hata Mzee wangu EL, Mwalimu Mwakyembe, Jaji mstaarabu Ramadhani wote wamewahi kulizungumza hilo. Je is it impossible kwa Coke Zero kutumiwa na hao wa Mamlaka za juu, waliomshinikiza Kabwe kuingia dili lile? (bearing in mind Kabwe alikuwa mteuliwa). Haya wise man mungu anakuona
 
Siyo siasa zinazotuharibu, hapana. Wezi kwa mbinu zozote wanazozitumia, ndiyo wanaoharibu sana nchi hii. Pia mwizi hatakiwi kuitwa mwizi na hata akitiwa hatiani vilevile hatakiwi kuitwa mwizi, anatakiwa kuitwa mfungwa au mtuhumiwa. Na ukimuita mwizi utakuwa haujamtendea haki. Hivi mtu muovu kumrembaremba na kumteteatetea huwa ni ishara gani?
Ndiyo nikasema, siasa ni nzuri, wabaya ni majizi pamoja na mitandao yao.
 
Halijua kwenye makaratasi mweupe, so lazima ajitutumue
 
"The silence of our friends hurts more than the noise made by our enemies" by elmagnifico JF
 

Na wezi wakubwa niwanasiasa ukilinganisha na watendaji!
 
Mtu kushinda kesi haina maana kuwa hakuwa na hatia. Tanzania ina mambo mengi hii. Kama wewe ni mkazi wa dar bila shaka zile barabara nawe uliziona zilivyojengwa chini ya kiwango
 
Kwa hiyo unarudi palepale alipokuwa anasema makonda (kama ulivyosema mwenyewe) kuwa asingeweza kufanya nae kazi sababu alikuwa hafati ueredi wake katika kufanya kazi bali alikuwa anafata maagizo toka juu!!? kama ni hivyo Makonda hakukosea. Kwa sababu haiwezekan mtu apokee tu maagizo hata kama hayo maagizo hayana tija
 
Mtu kushinda kesi haina maana kuwa hakuwa na hatia. Tanzania ina mambo mengi hii. Kama wewe ni mkazi wa dar bila shaka zile barabara nawe uliziona zilivyojengwa chini ya kiwango

Si kwamba wameshinda kesi bali wameonekana hawana hatia kwani kulikuwa na kesi yeyote dhidi yao? Hakukuwa na kesi ila walisimamishwa kupisha uchunguzi na imedhihirika wapo sahihi ndo maana nasema Bwana Bashite alikurupuka juu yao kwa maneno ambayo hakuyafanyia kazi tayari yeye akaita media na kuanika makosa lukuki! Kuhusu barabara hata mm nazijua na kila nilipokuwa nazipita sio siri zilikuwa zinaumiza gari hata unayeendesha unajisikia kuumia ila swali la msingi kwanini aliwasimamisha kwa mbwembwe tena hadharani wakati aliweza kujiridhisha kabla ya kuwasimamisha cha msingi acha Professiona iitwe Professional.
 
wewe ndo ulitakiwa kutubu kwa niaba ya marehemu......alitumbuliwa kwa mistake alizofanya kazin wala sio cheti cha makonda
 
Kiongozi kumsimamisha mtu apishe uchunguzi ni utaratibu wa kawaida katika utumishi
 
Full upuuzi,walikufa mitume watakatifu kama yesu na mohamed sembuse huyo unayemwongolea, kifo ni haki ya kila nafsi iliyo hai, ulitaka akufe bibi yako?
 
Mtu kushinda kesi haina maana kuwa hakuwa na hatia. Tanzania ina mambo mengi hii. Kama wewe ni mkazi wa dar bila shaka zile barabara nawe uliziona zilivyojengwa chini ya kiwango
Sasa unataka tuishi bila sheria
 
Kama makonda anavyopokea sasa, siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…