Buriani rafiki yangu

Buriani rafiki yangu

Mungu ni mwema sana ndugu yaani kuna vifo viwili nimevishuudia maishani mwangu nabaki kusema tumwache Mungu aitwe Mungu, kifo hakichagui na usijione mwamba au mzima sana aisee Mungu ana siri nyie.
Kweli mkuu emu funguka kidogo ilikua kuaje na sisi tujifunze angalau
 
Mungu ni mwema sana ndugu yaani kuna vifo viwili nimevishuudia maishani mwangu nabaki kusema tumwache Mungu aitwe Mungu, kifo hakichagui na usijione mwamba au mzima sana aisee Mungu ana siri nyie.
Kweli kabisa maradhi hayana hodi na kifo pia
 
Mambo ya jinsia ni ya mtu binafsi zaidi
Kuna uzi nilishaleta unaomhusu kijana mwenye jinsia mbili na ndio huyo kibofu kimezingua kafanyiwa surgery hali ikawa mbaya mara mbili , maumivu makali tayari kaondoka
 
Kifo daaa nakiogopa jamani .nawaza sana siki ghafla nikisepa je nitakuwa na uwezo wa kuwaona mnavyo uzunika na watakao nicheka ,kifo akina urumaaaa
Jiweke vizuri Na Mungu hakuna siku wala saa mimi namwomba Mungu anipe nafasi ya kuaga kama huyu kijana
 
Kweli mkuu emu funguka kidogo ilikua kuaje na sisi tujifunze angalau
Hapana sio kwamba kuna mysterious zozote ila ni kwa namna watu wanakufa katika namna ambayo hutegemei binafsi nilikuwa na rafiki yangu alikuwa mtoto wa kishua haijui shida nilikuwa nikijitazama na shida zangu naona Duniani kama sehemu ya mateso,jamaa alikuwa yuko poa sana tena bwana mdogo kichiz, mchizi alienda India [emoji1128] kusoma baada ya mwaka akagongwa na gari akafariki ilikuwa 2015 nilia kama mtoto, leo nipo zangu Instagram naona picha inatembea jamaa tunafahamiana vzr eti r.i.p yaani nijamaa kajitafuta kajipata mihela kama yote yaani vimilioni mia plus havikoseni standby kwenye account yaan ni mchizi wa around 32yrs old katutoka ghafla, inaumiza nyie...
 
RIP muhusika

Polee rafiki kwa kuondokewa na mpendwa wako.
 
Hatari sana mkuu kifoo halina huruma, wote njia yetu ni moja
 
kijana mwenye jinsia mbili alipata shida ya kibofu cha mkojo na kufanyiwa surgery

Lakini hali yake haikutengamaa bali ndio ikazidi kuwa mbaya sana sana .
Sasa jana kanitumia meseji watsap.

Kaka asante kwa kuwa rafiki bora zaidi ya rafiki , ndugu zaidi ya ndugu
Nilifurahia sana kampani yako kwenye maisha yangu kwa muda tuliofahamiana . Ulinipa tabasamu na kidogo kupata mwanga wa kuishi bila kujutia nilivyoumbika na pia kupata faraja na matumaini makubwa kiroho . Japo kuwa ulinifanya nipende kuishi

Ila kwa sasa sina jinsi naondoka ninahuzuni . ila nikikumbuka tumaini la maisha ya uzima wa milele ulilonihubiria basi sina sababu ya kuhuzunika sana nimeshateseka sana na nikiwaza dunia isiyokubali nilivyoumbwa acha tu nipumzike kaka acha nipumzike . Kwaheri bro tutaonana kwenye uzima wa milele jitahidi uishi maisha uliyonihubiria tukutane huko siku moja.
Asante sana bro .

Hayo ndio maneno ya mwisho ya rafiki yangu kijana mwenye jinsia mbili.

Nilipiga simu haikupokelewa leo napigiwa simu naambiwa kijana hatunae tena , sijaweza kumuuliza hata yeye ni nani ila nisauti ya mwanamke mtu mzima alikuwa analia sana.
Nina huzuni sana , nitamisi sana meseji zake na ukaribu wake na mimi utani wa kutosha
Hakuna siku iliyopita bila kuongea na kuchat
R.i.p
View attachment 2574372
Pole sana.
Mungu amlaze pema.
 
Back
Top Bottom