Buriani Mwalimu Kaijage

Nimesoma Uzi wote sijaona mipango ya mazishi...

Tulipingana kwa hoja hapa duniani lakini safari yetu ni moja. R.I.P Mwalimu Kaijage
 
wewe ni wa kusamehe tu, hiki siyo kipindi cha kukumbushia hayo. R..I.P Mwalimu Kaijage

Anamfuatisha Mungu. Ukifa Mungu anafukua makaburi na kuyakumbuka madhambi yako na kutoa hukumu. Huyu hajakosea
 
Nina wasiwasi na umuri wako labda bado mtoto mdogo, kama mkubwa itakuwa na tatizo la malezi,

Huu Uzi wa msiba elewa hilo kwenye msiba hata afe usiyempenda masikitiko muhimu maana hamtaonana tena.

Hapana ukifa adui yangu nitafurahi. Alivyomuandika Lowasa ni sawa?
 
ipo ndio maana nimebadili, ila samahani mimi sio Mwalimu.

Huu ni uzi wa Tribute kwa Mwalimu Kaijage.
Naomba tuuheshimu.
Natanguliza Shukrani ya asante kwa kunielewa .
RIP Mwalimu Kaijage.
Paskali

Hapana Paskali, ukifa adui yangu wa kweli nitafurahi. Umeona uongo aliokuwa anamtakia Lowass
 
"SISI SOTE KWAKE TUTAREJEA"
Mema uliyoyafanya mungu atakulipa MPAMBANAJI WA CHAMA MAKINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…