Habibu mchage hana uadilifu wa kuandika tanziaNina wasiwasi na umuri wako labda bado mtoto mdogo, kama mkubwa itakuwa na tatizo la malezi,
Huu Uzi wa msiba elewa hilo kwenye msiba hata afe usiyempenda masikitiko muhimu maana hamtaonana tena.
Anzisha Mada nyingine ya kumuhusu Habibu mchage na uadilifu wake lakini hapa ni habari ya msiba,Habibu mchage hana uadilifu wa kuandika tanzia
Alimtabiria nani kuwa atakufa.Hatimaye nimemfahamu Kaijage aliyewahi kuwatabiria wengine kifoView attachment 435841ulale kwa amani mipango ya Mwanadamu site ya Mungu
BURIANI KAIJAGE, BURIANI KILEMBWE.
Kalale pema peponi Mwalimu Joshua Kaijage Kilembwe ama Mwalimu Kaijage kama ulivyofahamika Sana Hapa Duniani.
Mapambano ya kudai haki, kupinga dhuruma na kukataa uonevu na ukandamizaji vilituunganisha tukawa wanachama wa Chama kimoja, Chama kidogo, kipya na makini. Chama cha Act Wazalendo.
Dahh. Niseme nini kaijage? ...
Niseme namna tulivyokusafirisha mputa mputa uje kujiunga na timu ya ziara ya kukitambulisha Chama iliyoanzia Songea mwaka Jana ukaja kuongeza nguvu katika kuhabalisha umma kupitia mtandaoni? ...
.......
Pole Mkuu,
Ila kwa kuwa wewe ni kiongozi, jitahidi kujifunza matumizi ya "R" na "L".....angalia hizo red fonts ..
R.I.P Marehemu,
Hao ni wafuasi wa CDM wamechanganyikiwa wasamehe bureMtu anaeleza hisia zake juu ya marehemu watu mnaanza kumponda!!!! Ama kweli kuna watu wa kipekee humu ndani
CDM ni wendawazimu wala wasikupe shida hao wamechanganyikwa unafikiri kumpokea mtu uliyekuwa unasema anastahili kupigwa mawe unafikiri ni kitu kidogo lazima wamechanganyikiwaCHADEMA ubinadamu ulishawatoka
Tuko msibani ndugu, uzi huu unatueleza kuwa mwalimu kaijage amefariki, tusilete kebehi pia siasa mda wote.
Poleni wafiwa, RIP Mwl Kaijage
Hatimaye nimemfahamu Kaijage aliyewahi kuwatabiria wengine kifoView attachment 435841ulale kwa amani mipango ya Mwanadamu site ya Mungu
Huyu jamaa kumbe alikuwa anamsema vibaya chaguo letuMkuu Mjingawewe, usiwe kama mjinga, sijabadili jina, Pasco ni kifupi cha Pascal, Paschal, Paskali, Pasquale, Pasca, Pasqwa etc. Nilikuwa natumia kifupi, sasa natumia jina kamili kwa kirefu.
Paskali
HahahaJamaa alikuwa mtabiri mzuri...
RIP Ticha Kaijage
Huyu jamaa kumbe alikuwa anamsema vibaya chaguo letu
RIP Ticha Kaijage, sote tuko njia moja.
We ongeaongea kama umekula maharage ya MtipulaBasi nanyie maUpawa sijui upinzani uchwara wekeni maneno mliyokuwa mnamsema chaguo lenu Yule mzee.
Nanyie wekeni akiba ya maneno