mkuu,nenda kajenge pale kigoma ujiji uone kama utaishi kwa siku mbiliAcha chuki na waha mkuu haitokufikisha popote,kama unaamini kunakupigana vyombo.Unatofauti gani na wanaoamini katika nguvu za vyombo?.
Sio lazima mie nijenge wakazi wa pale watajenga mkuu.mkuu,nenda kajenge pale kigoma ujiji uone kama utaishi kwa siku mbili
Nimenukuu siasa za mtoa hoja.KASHOROBANA post: 18526898 said:Tuko msibani ndugu, uzi huu unatueleza kuwa mwalimu kaijage amefariki, tusilete kebehi pia siasa mda wote.
Poleni wafiwa, RIP Mwl Kaijage
Unapoambiwa ujitengenezee pepo njema hapa duniani maana yake ni kuishi kwa njia ambayo ukiugua au hata ukifa zisitokee kebehi dhidi yako.Mimi huwa Muoga sana hasa pale tunapokebehi ama Afya ya mtu au Mtu ambaye tayari keshatangulia mbele ya haki, kwani hawana control/ power just to avoid them.
hii ni kwa kuwa sisi kama binadamu kwa hayo mawili apo juu hakuna atakaye chomoka na hasiguswe na yote ayo mawili
Mkuu Mjingawewe, usiwe kama mjinga, sijabadili jina, Pasco ni kifupi cha Pascal, Paschal, Paskali, Pasquale, Pasca, Pasqwa etc. Nilikuwa natumia kifupi, sasa natumia jina kamili kwa kirefu.Oyaa.mwenzetu jina umebadilisha vipi?
Yaani kuna sehemu.ya kubadilisha jina humu jf.ndo maana yangu.Mkuu Mjingawewe, usiwe kama mjinga, sijabadili jina, Pasco ni kifupi cha Pascal, Paschal, Paskali, Pasquale, Pasca, Pasqwa etc. Nilikuwa natumia kifupi, sasa natumia jina kamili kwa kirefu.
Paskali
Nina wasiwasi na umuri wako labda bado mtoto mdogo, kama mkubwa itakuwa na tatizo la malezi,Najaribu kuweka wazi unafiki wa habibu mchage..asijifanye analia lia hapa..kumbe kuna wengine alikuwa anawadhiki wagonjwaa watakufa kesho..
Badala yake wanaotangulia..hakuwategemea. R.I.P kaijage ila habibu mchage huna uhalali wowote wa kuandikia tanzia hii .. Shame on you.
ipo ndio maana nimebadili, ila samahani mimi sio Mwalimu.Yaani kuna sehemu.ya kubadilisha jina humu jf.ndo maana yangu.
Unachotaka kuniambia kigoma ujiji hakuna majumba au waliojenga wote ni wachawi?mkuu,nenda kajenge pale kigoma ujiji uone kama utaishi kwa siku mbili