balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,376
- 13,771
Kwa wale wanaokumbuka jaribio la kuipindua serikali ya mwalimu Nyerere la mwaka 1982,kuna mtu mmoja alihusishwa na kesi ile ingawa baadae alionekana hahusiki.Hakuhusika lakini serikali haikuweza kumrejesha kazini kwake kama Afisa wa jeshi.
Mzee alirudi kijijini kwao Bukoba ambapo baadaye alianzisha shughuli zake za kibiashara, ni jana tu, mwanae aliniambia wako msibani kule Bukoba, mzee ameaga dunia.Tunamtakia mapumziko mema mzee Wilbard Bagyemu Rweyongeza wa Bukoba.