Buriani Baba yetu Emilio Lusuva | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Buriani Baba yetu Emilio Lusuva

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MORIA, Aug 14, 2011.

 1. M

  MORIA JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni siku ya ijumaa tulimzika huyu mzee wetu huko Sae mkoani Mbeya..Emilio alikuwa baba,mwanazuoni,mwanaharakati na kiongozi mwandamizi ktk chama cha wafanyakazi mkoani Mbeya..Mzee Emilio aliipigania haki na kweli ktk jamii yake hakika wana Sae na Mbeya hatutakusahu..Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe Amen..
   
 2. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  May his soul rest in peace...
   
Loading...